Pre GE2025 Jeshi la Polisi lapiga marufuku mkutano wa BAVICHA siku ya vijana duniani
Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Heparin

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2021
Posts
242
Reaction score
1,141
1000108034.jpg
20240811_125511.jpg

Jeshi la Polisi linapenda kutoa taarifa kwa umma kuhusiana na kuwepo kwa mipango ya viongozi wa chama cha siasa nchini [CHADEMA] kuhamasisha vijana kote nchini kukusanyika Mkoa wa Mbeya Agosti 12, 2024 kwa lengo la kufanya maandamano na mikusanyiko kwa mwamvuli wa maadhimisho ya siku ya vijana duniani.

Hivi karibuni kupitia mitandao ya kijamii wameonekana na kusikika baadhi ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo [CHADEMA] wakihamasisha vijana kote nchini, viongozi wa kitaifa wa chama, kamati kuu ya chama hicho na kualika baadhi ya watu kutoka ndani na nje ya nchi kwa ajili ya kwenda kuadhimisha siku ya vijana Mkoani Mbeya.

Pamoja na mwaliko wanaotoa, viongozi hao wameendelea kutoa kauli ambazo hazionyeshi kuwa na lengo la kwenda kuadhimisha siku ya vijana duniani bali ni kwenda kuhamasisha kufanya vitendo vinavyolenga uvunjifu wa amani kwa wananchi wa Mkoa wa Mbeya.

Miongoni mwa kauli hizo ambazo zinaashiria kuwa na lengo la kuvuruga amani ni za Katibu Mwenezi BAVICHA Taifa ndugu Twaha Mwaipaya, nanukuu "Kama kijana yeyote unaipenda nchi yako ya Tanzania, umeshalia miaka yako yote, siku hiyo ya tarehe 12/08/2024 tunakwenda kuweka hatma ya Taifa letu la Tanzania Mkoani Mbeya, kwa hiyo kijana yeyote uliyepo popote Tanzania njoo uwanja wa Ruanda Nzovwe Mbeya"

Pia soma: Uzi Maalum wa Matukio ya Kiusalama kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Kauli nyingine ni, "Tupo serious sana na jambo hili, kwa hiyo vijana wote wa CHADEMA kama ambavyo vijana wa Kenya wamejitambua,

siku ya tarehe 12/08/2024 tunakwenda kuacha uteja kwa serikali vijana wa kitanzania na kuweka maazimio makubwa ya uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu mwaka 2025"

Kauli zinazotamkwa kama hizi za kwamba wanakwenda kuamua hatma ya Taifa la Tanzania na kwamba wapo "serious" sana kama ambavyo vijana wa Kenya walijitambua na kuacha uteja wa serikali na taarifa zingine zilizopo ni viashiria tosha kuwa malengo yao sio kwenda kuadhimisha siku ya vijana duniani bali ni kuanzisha na kufanya vurugu ili kusababisha uvunjifu wa amani nchini.

Kufuatia kauli hizo na matamko mbalimbali yanayotolewa na viongozi hao, Jeshi la Polisi limeamua kupiga marufuku maandamano na mikusanyiko ya aina yoyote ile ya ndani au nje inayotaka kufanyika kwa mwamvuli wa kuadhimisha siku ya vijana duniani inalenga kuleta uvunjifu wa amani Mkoa wa Mbeya na maeneo mengine yoyote katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Hivyo basi, Jeshi la Polisi nchini linatoa onyo kali na katazo kwa mtu au kikundi cha watu kinachojipanga kufanya maandamano na mikusanyiko kuacha mara moja kwani Jeshi la Polisi lipo imara na limejipanga vizuri kuhakikisha ulinzi, usalama, amani na utulivu vinatawala nchini na lipo tayari kuzuia na kupambana na viashiria vyovyote vya uvunjifu wa amani, na halitasita kuchukua hatua kali kwa mujibu wa sheria kwa mtu yeyote atakayekiuka katazo hili.

Pia soma=> Msajili apiga Marufuku Kongamano la CHADEMA mkoani Mbeya, asema matamko yao yanahusisha vitendo vya uvunjifu wa amani
 
Kumekucha 🐼

Sisi tuko Chato kwenye sikukuu ya miaka 25 ya Upadirisho wa Askofu Kasalla

Kanisa Moja Takatifu La Mitume 😄
 
Hivi hatuwezi kufungua kesi mahakama kuu kuhusu haya makatazo? Inaenda kwenda mbaya sana.
 
Hilo wasahau,hawana intelensia yoyote hao walamba miguu ya ccm.
Wanachokitafuta hai greengurd wanaovaa combat zaserikali.
Siku zinahesabiwa.

Watu wanatakwa hakuna mbwa anayeongea.
Ila yasiyomhimu Zinabweka.😡
 
Bado vijana hawajaamua na Chadema inachokifanya ni katika kutafuta umaarufu wa kisiasa na serikali ikitumia nguvu kupunguza/ kuminya Chadema kupata huo umaarufu.

Mabadiliko yaliyotokea kwenye nchi za Kiarabu wala hayakuwa na msukumo wa kisiasa bali ni vijana kuchoshwa na tawala zilzokuwepo kwa wakati ule na dola ilitumia nguvu kubwa lakini ikashindwa.

Bangladesh napo si upinzani wameutoa utawala au kushawishi bali ni raia kupambana na dola baada ya kuchoshwa na utawala uliokuwepo.
 
View attachment 3066777View attachment 3066778
Jeshi la Polisi linapenda kutoa taarifa kwa umma kuhusiana na kuwepo kwa mipango ya viongozi wa chama cha siasa nchini [CHADEMA] kuhamasisha vijana kote nchini kukusanyika Mkoa wa Mbeya Agosti 12, 2024 kwa lengo la kufanya maandamano na mikusanyiko kwa mwamvuli wa maadhimisho ya siku ya vijana duniani.

Hivi karibuni kupitia mitandao ya kijamii wameonekana na kusikika baadhi ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo [CHADEMA] wakihamasisha vijana kote nchini, viongozi wa kitaifa wa chama, kamati kuu ya chama hicho na kualika baadhi ya watu kutoka ndani na nje ya nchi kwa ajili ya kwenda kuadhimisha siku ya vijana Mkoani Mbeya.

Pamoja na mwaliko wanaotoa, viongozi hao wameendelea kutoa kauli ambazo hazionyeshi kuwa na lengo la kwenda kuadhimisha siku ya vijana duniani bali ni kwenda kuhamasisha kufanya vitendo vinavyolenga uvunjifu wa amani kwa wananchi wa Mkoa wa Mbeya.

Miongoni mwa kauli hizo ambazo zinaashiria kuwa na lengo la kuvuruga amani ni za Katibu Mwenezi BAVICHA Taifa ndugu Twaha Mwaipaya, nanukuu "Kama kijana yeyote unaipenda nchi yako ya Tanzania, umeshalia miaka yako yote, siku hiyo ya tarehe 12/08/2024 tunakwenda kuweka hatma ya Taifa letu la Tanzania Mkoani Mbeya, kwa hiyo kijana yeyote uliyepo popote Tanzania njoo uwanja wa Ruanda Nzovwe Mbeya"

Kauli nyingine ni, "Tupo serious sana na jambo hili, kwa hiyo vijana wote wa CHADEMA kama ambavyo vijana wa Kenya wamejitambua,

siku ya tarehe 12/08/2024 tunakwenda kuacha uteja kwa serikali vijana wa kitanzania na kuweka maazimio makubwa ya uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu mwaka 2025"

Kauli zinazotamkwa kama hizi za kwamba wanakwenda kuamua hatma ya Taifa la Tanzania na kwamba wapo "serious" sana kama ambavyo vijana wa Kenya walijitambua na kuacha uteja wa serikali na taarifa zingine zilizopo ni viashiria tosha kuwa malengo yao sio kwenda kuadhimisha siku ya vijana duniani bali ni kuanzisha na kufanya vurugu ili kusababisha uvunjifu wa amani nchini.

Kufuatia kauli hizo na matamko mbalimbali yanayotolewa na viongozi hao, Jeshi la Polisi limeamua kupiga marufuku maandamano na mikusanyiko ya aina yoyote ile ya ndani au nje inayotaka kufanyika kwa mwamvuli wa kuadhimisha siku ya vijana duniani inalenga kuleta uvunjifu wa amani Mkoa wa Mbeya na maeneo mengine yoyote katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Hivyo basi, Jeshi la Polisi nchini linatoa onyo kali na katazo kwa mtu au kikundi cha watu kinachojipanga kufanya maandamano na mikusanyiko kuacha mara moja kwani Jeshi la Polisi lipo imara na limejipanga vizuri kuhakikisha ulinzi, usalama, amani na utulivu vinatawala nchini na lipo tayari kuzuia na kupambana na viashiria vyovyote vya uvunjifu wa amani, na halitasita kuchukua hatua kali kwa mujibu wa sheria kwa mtu yeyote atakayekiuka katazo hili.

Pia soma=> Msajili apiga Marufuku Kongamano la CHADEMA mkoani Mbeya, asema matamko yao yanahusisha vitendo vya uvunjifu wa amani
Hawa ni wapumbavu sana
 
Vijana WA Kenya Gen z hawakutumia chama chochote cha siasa ndio maana Ruto akanywea

Waliji organize wenyewe Tu bila mwavuli WA chama chochote
Chadema wajinga Fulani hivi hao Bavicha wanataka kuiga Kenya Kwa mfumo usiolingana na kenya
 
Kama baadhi ya viongozi wa chadema wamefika bei!wanataka mtoto wa nani ajigharamikie nauli ya kwenda mbeya!!?

Chadema acheni kuwatumia vijana kama bullet proof yenu!!fanyeni siasa za akili sio huo uhuni!!
 
Nyerere alisema watz wanataka mabadiliko. Wasipoyapata ndani ya ccm watayatafuta nje ya ccm. Sasa hivi vijana wanatekwa, maisha ni magumu na ajira hakuna. Waacheni vijana waongee watoe dukuduku zao, acheni ujinga wa kuwazuia
 
View attachment 3066777View attachment 3066778
Jeshi la Polisi linapenda kutoa taarifa kwa umma kuhusiana na kuwepo kwa mipango ya viongozi wa chama cha siasa nchini [CHADEMA] kuhamasisha vijana kote nchini kukusanyika Mkoa wa Mbeya Agosti 12, 2024 kwa lengo la kufanya maandamano na mikusanyiko kwa mwamvuli wa maadhimisho ya siku ya vijana duniani.

Hivi karibuni kupitia mitandao ya kijamii wameonekana na kusikika baadhi ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo [CHADEMA] wakihamasisha vijana kote nchini, viongozi wa kitaifa wa chama, kamati kuu ya chama hicho na kualika baadhi ya watu kutoka ndani na nje ya nchi kwa ajili ya kwenda kuadhimisha siku ya vijana Mkoani Mbeya.

Pamoja na mwaliko wanaotoa, viongozi hao wameendelea kutoa kauli ambazo hazionyeshi kuwa na lengo la kwenda kuadhimisha siku ya vijana duniani bali ni kwenda kuhamasisha kufanya vitendo vinavyolenga uvunjifu wa amani kwa wananchi wa Mkoa wa Mbeya.

Miongoni mwa kauli hizo ambazo zinaashiria kuwa na lengo la kuvuruga amani ni za Katibu Mwenezi BAVICHA Taifa ndugu Twaha Mwaipaya, nanukuu "Kama kijana yeyote unaipenda nchi yako ya Tanzania, umeshalia miaka yako yote, siku hiyo ya tarehe 12/08/2024 tunakwenda kuweka hatma ya Taifa letu la Tanzania Mkoani Mbeya, kwa hiyo kijana yeyote uliyepo popote Tanzania njoo uwanja wa Ruanda Nzovwe Mbeya"

Kauli nyingine ni, "Tupo serious sana na jambo hili, kwa hiyo vijana wote wa CHADEMA kama ambavyo vijana wa Kenya wamejitambua,

siku ya tarehe 12/08/2024 tunakwenda kuacha uteja kwa serikali vijana wa kitanzania na kuweka maazimio makubwa ya uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu mwaka 2025"

Kauli zinazotamkwa kama hizi za kwamba wanakwenda kuamua hatma ya Taifa la Tanzania na kwamba wapo "serious" sana kama ambavyo vijana wa Kenya walijitambua na kuacha uteja wa serikali na taarifa zingine zilizopo ni viashiria tosha kuwa malengo yao sio kwenda kuadhimisha siku ya vijana duniani bali ni kuanzisha na kufanya vurugu ili kusababisha uvunjifu wa amani nchini.

Kufuatia kauli hizo na matamko mbalimbali yanayotolewa na viongozi hao, Jeshi la Polisi limeamua kupiga marufuku maandamano na mikusanyiko ya aina yoyote ile ya ndani au nje inayotaka kufanyika kwa mwamvuli wa kuadhimisha siku ya vijana duniani inalenga kuleta uvunjifu wa amani Mkoa wa Mbeya na maeneo mengine yoyote katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Hivyo basi, Jeshi la Polisi nchini linatoa onyo kali na katazo kwa mtu au kikundi cha watu kinachojipanga kufanya maandamano na mikusanyiko kuacha mara moja kwani Jeshi la Polisi lipo imara na limejipanga vizuri kuhakikisha ulinzi, usalama, amani na utulivu vinatawala nchini na lipo tayari kuzuia na kupambana na viashiria vyovyote vya uvunjifu wa amani, na halitasita kuchukua hatua kali kwa mujibu wa sheria kwa mtu yeyote atakayekiuka katazo hili.

Pia soma=> Msajili apiga Marufuku Kongamano la CHADEMA mkoani Mbeya, asema matamko yao yanahusisha vitendo vya uvunjifu wa amani
Ningekua Rais ningepokea maandamano hayo ,na ningesikiliza madai yao na ningetoa majibu, ila ichi kinataka kufanyika ni kukuza mambo bila sababu ya Msingi
 
Kamishna wa operation wa jeshi la polisi nchi kamanda Haji ametoa tamko kukataza kongamano la vijana la CHADEMA lilipangwa kufanyika mkoani mbeya siku ya vijana duniani.

Kamishna Haji amesema kwa mujibu wa taarifa za kiintelijensia walizonazo ni kuwa vijana hao walipanga kufanya vurugu na kuhamsishana harakati za uvunjifu wa amani.

Hapo awali vijana wa chadema wa mkoa wa Dar es salaam walisema kuwa wanaowaunga mkono wenzao wa kenya katika kudai haki zao na wanataka wafanye kama kenya hapa Tanzania

Wanapinga ukosefu wa ajira, matumizi makubwa ya serkali,mfumuko wa bei, utekaji na kupotea kwa watu sambamba na kupatikana kwa katiba mpya

USSR
 
View attachment 3066777View attachment 3066778
Jeshi la Polisi linapenda kutoa taarifa kwa umma kuhusiana na kuwepo kwa mipango ya viongozi wa chama cha siasa nchini [CHADEMA] kuhamasisha vijana kote nchini kukusanyika Mkoa wa Mbeya Agosti 12, 2024 kwa lengo la kufanya maandamano na mikusanyiko kwa mwamvuli wa maadhimisho ya siku ya vijana duniani.

Hivi karibuni kupitia mitandao ya kijamii wameonekana na kusikika baadhi ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo [CHADEMA] wakihamasisha vijana kote nchini, viongozi wa kitaifa wa chama, kamati kuu ya chama hicho na kualika baadhi ya watu kutoka ndani na nje ya nchi kwa ajili ya kwenda kuadhimisha siku ya vijana Mkoani Mbeya.

Pamoja na mwaliko wanaotoa, viongozi hao wameendelea kutoa kauli ambazo hazionyeshi kuwa na lengo la kwenda kuadhimisha siku ya vijana duniani bali ni kwenda kuhamasisha kufanya vitendo vinavyolenga uvunjifu wa amani kwa wananchi wa Mkoa wa Mbeya.

Miongoni mwa kauli hizo ambazo zinaashiria kuwa na lengo la kuvuruga amani ni za Katibu Mwenezi BAVICHA Taifa ndugu Twaha Mwaipaya, nanukuu "Kama kijana yeyote unaipenda nchi yako ya Tanzania, umeshalia miaka yako yote, siku hiyo ya tarehe 12/08/2024 tunakwenda kuweka hatma ya Taifa letu la Tanzania Mkoani Mbeya, kwa hiyo kijana yeyote uliyepo popote Tanzania njoo uwanja wa Ruanda Nzovwe Mbeya"

Kauli nyingine ni, "Tupo serious sana na jambo hili, kwa hiyo vijana wote wa CHADEMA kama ambavyo vijana wa Kenya wamejitambua,

siku ya tarehe 12/08/2024 tunakwenda kuacha uteja kwa serikali vijana wa kitanzania na kuweka maazimio makubwa ya uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu mwaka 2025"

Kauli zinazotamkwa kama hizi za kwamba wanakwenda kuamua hatma ya Taifa la Tanzania na kwamba wapo "serious" sana kama ambavyo vijana wa Kenya walijitambua na kuacha uteja wa serikali na taarifa zingine zilizopo ni viashiria tosha kuwa malengo yao sio kwenda kuadhimisha siku ya vijana duniani bali ni kuanzisha na kufanya vurugu ili kusababisha uvunjifu wa amani nchini.

Kufuatia kauli hizo na matamko mbalimbali yanayotolewa na viongozi hao, Jeshi la Polisi limeamua kupiga marufuku maandamano na mikusanyiko ya aina yoyote ile ya ndani au nje inayotaka kufanyika kwa mwamvuli wa kuadhimisha siku ya vijana duniani inalenga kuleta uvunjifu wa amani Mkoa wa Mbeya na maeneo mengine yoyote katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Hivyo basi, Jeshi la Polisi nchini linatoa onyo kali na katazo kwa mtu au kikundi cha watu kinachojipanga kufanya maandamano na mikusanyiko kuacha mara moja kwani Jeshi la Polisi lipo imara na limejipanga vizuri kuhakikisha ulinzi, usalama, amani na utulivu vinatawala nchini na lipo tayari kuzuia na kupambana na viashiria vyovyote vya uvunjifu wa amani, na halitasita kuchukua hatua kali kwa mujibu wa sheria kwa mtu yeyote atakayekiuka katazo hili.

Pia soma=> Msajili apiga Marufuku Kongamano la CHADEMA mkoani Mbeya, asema matamko yao yanahusisha vitendo vya uvunjifu wa amani
Jeshi limeamua kuwa mkoa wa Mbeya ni wa Tulia tu, huyu mama kila siku anafanya mikutano Mbeya, polisi mtamlinda Tulia mpaka lini.
 
Mwamba tuvushe…….
Wanasiasa ni umiza kichwa

Wanawatumia vijana waingie mkenge

Kuna chawa mmoja kasema eti mwamba wao ni alfa na omega seriously!
Yeriko ni mpuuzi mwingine. Endeleeni kujitangaza. Eti ni tajiri ataongoza mpaka sisiem itoke madarakani. What a day dreamer! It’s been 30yrs hakuna mabadiliko yoyote mnawafanya wananchi hamnazo si ndio!

Ipo siku huu usaliti utawatafuna sana

Lissu Mungu azidi kukutunza.
 
Vijana WA Kenya Gen z hawakutumia chama chochote cha siasa ndio maana Ruto akanywea

Waliji organize wenyewe Tu bila mwavuli WA chama chochote
Chadema wajinga Fulani hivi hao Bavicha wanataka kuiga Kenya Kwa mfumo usiolingana na kenya
Msajili akivivifuta vyama vya siasa ndipo gen z itaibuka.
 
Back
Top Bottom