Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Religion is the opium of the people. Wenzio mapadre na maaskofu wakitoka hapo wanakuta mezani kuna misosi ya maama na mabia ya kumwaga we unatoka hata kahela ulikobeka umenyanganywa kwa kinachoitw asadaka (wizi). Ukirudi nyumbani unapiga miayo na watoto wako. Akili ku mkichwa.Kumekucha 🐼
Sisi tuko Chato kwenye sikukuu ya miaka 25 ya Upadirisho wa Askofu Kasalla
Kanisa Moja Takatifu La Mitume 😄
View attachment 3066777View attachment 3066778
Jeshi la Polisi linapenda kutoa taarifa kwa umma kuhusiana na kuwepo kwa mipango ya viongozi wa chama cha siasa nchini [CHADEMA] kuhamasisha vijana kote nchini kukusanyika Mkoa wa Mbeya Agosti 12, 2024 kwa lengo la kufanya maandamano na mikusanyiko kwa mwamvuli wa maadhimisho ya siku ya vijana duniani.
Hivi karibuni kupitia mitandao ya kijamii wameonekana na kusikika baadhi ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo [CHADEMA] wakihamasisha vijana kote nchini, viongozi wa kitaifa wa chama, kamati kuu ya chama hicho na kualika baadhi ya watu kutoka ndani na nje ya nchi kwa ajili ya kwenda kuadhimisha siku ya vijana Mkoani Mbeya.
Pamoja na mwaliko wanaotoa, viongozi hao wameendelea kutoa kauli ambazo hazionyeshi kuwa na lengo la kwenda kuadhimisha siku ya vijana duniani bali ni kwenda kuhamasisha kufanya vitendo vinavyolenga uvunjifu wa amani kwa wananchi wa Mkoa wa Mbeya.
Miongoni mwa kauli hizo ambazo zinaashiria kuwa na lengo la kuvuruga amani ni za Katibu Mwenezi BAVICHA Taifa ndugu Twaha Mwaipaya, nanukuu "Kama kijana yeyote unaipenda nchi yako ya Tanzania, umeshalia miaka yako yote, siku hiyo ya tarehe 12/08/2024 tunakwenda kuweka hatma ya Taifa letu la Tanzania Mkoani Mbeya, kwa hiyo kijana yeyote uliyepo popote Tanzania njoo uwanja wa Ruanda Nzovwe Mbeya"
Kauli nyingine ni, "Tupo serious sana na jambo hili, kwa hiyo vijana wote wa CHADEMA kama ambavyo vijana wa Kenya wamejitambua,
siku ya tarehe 12/08/2024 tunakwenda kuacha uteja kwa serikali vijana wa kitanzania na kuweka maazimio makubwa ya uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu mwaka 2025"
Kauli zinazotamkwa kama hizi za kwamba wanakwenda kuamua hatma ya Taifa la Tanzania na kwamba wapo "serious" sana kama ambavyo vijana wa Kenya walijitambua na kuacha uteja wa serikali na taarifa zingine zilizopo ni viashiria tosha kuwa malengo yao sio kwenda kuadhimisha siku ya vijana duniani bali ni kuanzisha na kufanya vurugu ili kusababisha uvunjifu wa amani nchini.
Kufuatia kauli hizo na matamko mbalimbali yanayotolewa na viongozi hao, Jeshi la Polisi limeamua kupiga marufuku maandamano na mikusanyiko ya aina yoyote ile ya ndani au nje inayotaka kufanyika kwa mwamvuli wa kuadhimisha siku ya vijana duniani inalenga kuleta uvunjifu wa amani Mkoa wa Mbeya na maeneo mengine yoyote katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Hivyo basi, Jeshi la Polisi nchini linatoa onyo kali na katazo kwa mtu au kikundi cha watu kinachojipanga kufanya maandamano na mikusanyiko kuacha mara moja kwani Jeshi la Polisi lipo imara na limejipanga vizuri kuhakikisha ulinzi, usalama, amani na utulivu vinatawala nchini na lipo tayari kuzuia na kupambana na viashiria vyovyote vya uvunjifu wa amani, na halitasita kuchukua hatua kali kwa mujibu wa sheria kwa mtu yeyote atakayekiuka katazo hili.
Pia soma=> Msajili apiga Marufuku Kongamano la CHADEMA mkoani Mbeya, asema matamko yao yanahusisha vitendo vya uvunjifu wa amani
Kwahiyo Uwezo wako wa akili umeishia Kwenye misosi 🐼Religion is the opium of the people. Wenzio mapadre na maaskofu wakitoka hapo wanakuta mezani kuna misosi ya maama na mabia ya kumwaga we unatoka hata kahela ulikobeka umenyanganywa kwa kinachoitw asadaka (wizi). Ukirudi nyumbani unapiga miayo na watoto wako. Akili ku mkichwa.
Religion come in when a person fails to think critically.
Kushakucha... Jogoo zinawika.Saa 9 HII Wewe kunja Goti umuombe MUNGU Muda huu wanasema mbingu zinakua zimefunguka ukiomba chochote Muda huu unatapa,
Ps: Muda huu ndio Muda ambao hata Wezi wakiiba huku wanamuomba Mungu hawakamatwi Muda huu walinzi wamelala wamechoka kukaa Macho
Nakukumbusha mkuuKushakucha... Jogoo zinawika.
Zingatia neno 'jogoo'...
Wewe ni mjinga sana!Vijana WA Kenya Gen z hawakutumia chama chochote cha siasa ndio maana Ruto akanywea
Waliji organize wenyewe Tu bila mwavuli WA chama chochote
Chadema wajinga Fulani hivi hao Bavicha wanataka kuiga Kenya Kwa mfumo usiolingana na kenya
Hawa ni hovyo sana!Sioni sababu zozote za maana za kuzuia Vijana wa Taifa hili kwenda kukutana huko Mbeya.
Kama ni Maandamano ya Gen Z hapa hapa Dar yangefanyika.
Jeshi la Polisi linapenda kutoa taarifa kwa umma kuhusiana na kuwepo kwa mipango ya viongozi wa chama cha siasa nchini [CHADEMA] kuhamasisha vijana kote nchini kukusanyika Mkoa wa Mbeya Agosti 12, 2024 kwa lengo la kufanya maandamano na mikusanyiko kwa mwamvuli wa maadhimisho ya siku ya vijana duniani.
Hivi karibuni kupitia mitandao ya kijamii wameonekana na kusikika baadhi ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo [CHADEMA] wakihamasisha vijana kote nchini, viongozi wa kitaifa wa chama, kamati kuu ya chama hicho na kualika baadhi ya watu kutoka ndani na nje ya nchi kwa ajili ya kwenda kuadhimisha siku ya vijana Mkoani Mbeya.
Pamoja na mwaliko wanaotoa, viongozi hao wameendelea kutoa kauli ambazo hazionyeshi kuwa na lengo la kwenda kuadhimisha siku ya vijana duniani bali ni kwenda kuhamasisha kufanya vitendo vinavyolenga uvunjifu wa amani kwa wananchi wa Mkoa wa Mbeya.
Miongoni mwa kauli hizo ambazo zinaashiria kuwa na lengo la kuvuruga amani ni za Katibu Mwenezi BAVICHA Taifa ndugu Twaha Mwaipaya, nanukuu "Kama kijana yeyote unaipenda nchi yako ya Tanzania, umeshalia miaka yako yote, siku hiyo ya tarehe 12/08/2024 tunakwenda kuweka hatma ya Taifa letu la Tanzania Mkoani Mbeya, kwa hiyo kijana yeyote uliyepo popote Tanzania njoo uwanja wa Ruanda Nzovwe Mbeya"
Pia soma: Uzi Maalum wa Matukio ya Kiusalama kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kauli nyingine ni, "Tupo serious sana na jambo hili, kwa hiyo vijana wote wa CHADEMA kama ambavyo vijana wa Kenya wamejitambua,
siku ya tarehe 12/08/2024 tunakwenda kuacha uteja kwa serikali vijana wa kitanzania na kuweka maazimio makubwa ya uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu mwaka 2025"
Kauli zinazotamkwa kama hizi za kwamba wanakwenda kuamua hatma ya Taifa la Tanzania na kwamba wapo "serious" sana kama ambavyo vijana wa Kenya walijitambua na kuacha uteja wa serikali na taarifa zingine zilizopo ni viashiria tosha kuwa malengo yao sio kwenda kuadhimisha siku ya vijana duniani bali ni kuanzisha na kufanya vurugu ili kusababisha uvunjifu wa amani nchini.
Kufuatia kauli hizo na matamko mbalimbali yanayotolewa na viongozi hao, Jeshi la Polisi limeamua kupiga marufuku maandamano na mikusanyiko ya aina yoyote ile ya ndani au nje inayotaka kufanyika kwa mwamvuli wa kuadhimisha siku ya vijana duniani inalenga kuleta uvunjifu wa amani Mkoa wa Mbeya na maeneo mengine yoyote katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Hivyo basi, Jeshi la Polisi nchini linatoa onyo kali na katazo kwa mtu au kikundi cha watu kinachojipanga kufanya maandamano na mikusanyiko kuacha mara moja kwani Jeshi la Polisi lipo imara na limejipanga vizuri kuhakikisha ulinzi, usalama, amani na utulivu vinatawala nchini na lipo tayari kuzuia na kupambana na viashiria vyovyote vya uvunjifu wa amani, na halitasita kuchukua hatua kali kwa mujibu wa sheria kwa mtu yeyote atakayekiuka katazo hili.
Pia soma=> Msajili apiga Marufuku Kongamano la CHADEMA mkoani Mbeya, asema matamko yao yanahusisha vitendo vya uvunjifu wa amani
Taarifa; igp ameomba kujiuzuli kisa kashinikizwa awakamate viongozi wote wa cdm nchi nzimaKamishna wa operation wa jeshi la polisi nchi kamanda Haji ametoa tamko kukataza kongamano la vijana la CHADEMA lilipangwa kufanyika mkoani mbeya siku ya vijana duniani.
Kamishna Haji amesema kwa mujibu wa taarifa za kiintelijensia walizonazo ni kuwa vijana hao walipanga kufanya vurugu na kuhamsishana harakati za uvunjifu wa amani.
Hapo awali vijana wa chadema wa mkoa wa Dar es salaam walisema kuwa wanaowaunga mkono wenzao wa kenya katika kudai haki zao na wanataka wafanye kama kenya hapa Tanzania
Wanapinga ukosefu wa ajira, matumizi makubwa ya serkali,mfumuko wa bei, utekaji na kupotea kwa watu sambamba na kupatikana kwa katiba mpya
USSR
Na tangu lini huyu Wadh amekuwa msemaji wa Jeshi la Polisi? Na ni Wadh huyu huyu aliyewapiga Sugu Na Mnyika, huo u IGP anautafuta kwa nji za kipumbavu sana