Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sioni sababu zozote za maana za kuzuia Vijana wa Taifa hili kwenda kukutana huko Mbeya.

Kama ni Maandamano ya Gen Z hapa hapa Dar yangefanyika.
 
Kumekucha 🐼

Sisi tuko Chato kwenye sikukuu ya miaka 25 ya Upadirisho wa Askofu Kasalla

Kanisa Moja Takatifu La Mitume 😄
Religion is the opium of the people. Wenzio mapadre na maaskofu wakitoka hapo wanakuta mezani kuna misosi ya maama na mabia ya kumwaga we unatoka hata kahela ulikobeka umenyanganywa kwa kinachoitw asadaka (wizi). Ukirudi nyumbani unapiga miayo na watoto wako. Akili ku mkichwa.

Religion come in when a person fails to think critically.
 
 

Attachments

  • 5793447-d05126d2cf760a954dec3168c92d63a7.mp4
    8 MB
Kwahiyo Uwezo wako wa akili umeishia Kwenye misosi 🐼
 
Tulimsikia Katibu Mkuu wa CCM, Dkt Emmanuel Nchimbi, akiwa ziarani huko katika kata ya Katoro, Mkoani Geita, tarehe 12 mwezi huu, akimwagiza Naibu Waziri wa Mambo ya ndani, Daniel Sillo kuwa wawaachie viongozi wa Chadema waliokuwa wanashikiliwa na Jeshi la Polisi nchini.

Tumeshuhudia mara tu baada ya Katibu Mkuu wa CCM kutamka hivyo, kweli amri hiyo ikatekdlezws mara moja, Kwa kuachiwa hao viongozi wa Chadema, waliokuwa wanadshikiliwa na Jeshi hilo huko Mbeya.

Najiuliza, hivi kumbe Jeshi la Polisi nchini, linatekeleza majukumu yake Kwa maagizo kutoka Kwa viongozi wa chama Tawala Cha CCM na Wala siyo kufuata sheria za nchi ziinavyowaambia wafanye na Wala siyo kufuata miongozo kama ilivyo Kwenye PGO yao ya utendaji kazi wao??

Ni dhahiri sasa nimegundua kumbe hata huku kubambikixiwa kesi raia wema wasio na hatia katika nchi hii kunakofanywa na Jedji la Polisi, huwa ni maagizo toka Kwa viongozi wa CCM!

Hata hivyo Hilo Jeshi la Polisi, halipaswi kufanya kazi zake, kws maelekezo toka Kwa viongozi wa CCM, Bali wanapaswa kutenda kazi zao Kwa mujibu wa sheria za nchi.

Nakumbuka katika utawala wa awamu ya 4 ya Rais Jakaya Kikwete, mwaka 2012, katika kikao Cha Halmashauri Kuu ya CCM, aliwaonya viongozi wa CCM, wasiendelee kulitumia Jeshi la Polisi, Kwa manufaa yao.

Mungu ibariki Tanzania
 
Saa 9 HII Wewe kunja Goti umuombe MUNGU Muda huu wanasema mbingu zinakua zimefunguka ukiomba chochote Muda huu unatapa,

Ps: Muda huu ndio Muda ambao hata Wezi wakiiba huku wanamuomba Mungu hawakamatwi Muda huu walinzi wamelala wamechoka kukaa Macho
 
Saa 9 HII Wewe kunja Goti umuombe MUNGU Muda huu wanasema mbingu zinakua zimefunguka ukiomba chochote Muda huu unatapa,

Ps: Muda huu ndio Muda ambao hata Wezi wakiiba huku wanamuomba Mungu hawakamatwi Muda huu walinzi wamelala wamechoka kukaa Macho
Kushakucha... Jogoo zinawika.

Zingatia neno 'jogoo'...
 
Vijana WA Kenya Gen z hawakutumia chama chochote cha siasa ndio maana Ruto akanywea

Waliji organize wenyewe Tu bila mwavuli WA chama chochote
Chadema wajinga Fulani hivi hao Bavicha wanataka kuiga Kenya Kwa mfumo usiolingana na kenya
Wewe ni mjinga sana!
 

wametumia vigezo gani?
 
Mbona kama vile hii kitu imewapa promo cdm kuliko kawaida
 
Taarifa; igp ameomba kujiuzuli kisa kashinikizwa awakamate viongozi wote wa cdm nchi nzima
 
Na tangu lini huyu Wadh amekuwa msemaji wa Jeshi la Polisi? Na ni Wadh huyu huyu aliyewapiga Sugu Na Mnyika, huo u IGP anautafuta kwa nji za kipumbavu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…