Jeshi la polisi latolea ufafanuzi tukio la bodaboda kusemekana kutekwa, wasema ni mhalifu aliyekuwa anatafutwa muda mrefu na polisi

Je kama alikuwa anafatiliwa tokea buza akakamatwa mbagala wakatoe taarifa kwa uongozi wa mtaa upi.
Uhalifu haulipi
Wewe ni mjinga sn, kwahiyo Buza hakuna uongozi? je na watekaji nao wakifanya hivyo? walishindwa nini kuwapa taarifa hao wananchi na huku matukio ya utekaji yamejaa?
 
Huyo dereva wao asingekua na mguu wa kuku hao askari lazima wangechapika, raia walishaanza kusogea.

Bila shaka hao ndio wale polisi jamii waliojadilowa hapa
Sasa endeleeni kufuga wahalifu na kufanya uhalifu mkifikiri mpo salama. Jeshi la polisi lipo Imara na madhubuti sana kukabiliana na wahalifu.
 
Hiki ni sawa na like la yule bonge sema polisi wana jaribu kujisafisha ,uwe,i toa silaha kihuni ivyo unatishia Rais
 
Huyo dereva wao asingekua na mguu wa kuku hao askari lazima wangechapika, raia walishaanza kusogea.

Bila shaka hao ndio wale polisi jamii waliojadilowa hapa
Hao ni watekaji sema walishitukiwa na wananchi
 
Wewe ni mjinga sn, kwahiyo Buza hakuna uongozi? je na watekaji nao wakifanya hivyo? walishindwa nini kuwapa taarifa hao wananchi na huku matukio ya utekaji yamejaa?
tumiaga akili dogo. Ni kweli huna akili lakini jitahidi kufikiri vizuri. Wajitambulishe vipi kwa mhalifu anayekimbia na kufanya uhalifu wake kwa kutumia pikipiki? Hivi kwanini hunaga akili dogo?
 
Wewe una laana, baada ya kumkamata walishindwa nini kutoa taarifa kwa hao wananchi kuwa tumemkamata fulani tunampeleke kituo X?
 
Embu acha utoto wako hapa. Yaani wewe kila siku unaunga mkono uovu tu Utafikiri na wewe ni mhalifu. Kwanini usiulize sababu ya yule wa pikipiki aliyekuwa anakamatwa kutokutii Amri?
Ana chembechembe za uhalifu huyo aidha yeye mwenyewe au watu wa karibu yake.
 
Back
Top Bottom