Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #41
Huyo achana naye maana akili yake ni ndogo sana.Je kama alikuwa anafatiliwa tokea buza akakamatwa mbagala wakatoe taarifa kwa uongozi wa mtaa upi.
Uhalifu haulipi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo achana naye maana akili yake ni ndogo sana.Je kama alikuwa anafatiliwa tokea buza akakamatwa mbagala wakatoe taarifa kwa uongozi wa mtaa upi.
Uhalifu haulipi
Wewe ni mjinga sn, kwahiyo Buza hakuna uongozi? je na watekaji nao wakifanya hivyo? walishindwa nini kuwapa taarifa hao wananchi na huku matukio ya utekaji yamejaa?Je kama alikuwa anafatiliwa tokea buza akakamatwa mbagala wakatoe taarifa kwa uongozi wa mtaa upi.
Uhalifu haulipi
Sasa endeleeni kufuga wahalifu na kufanya uhalifu mkifikiri mpo salama. Jeshi la polisi lipo Imara na madhubuti sana kukabiliana na wahalifu.Huyo dereva wao asingekua na mguu wa kuku hao askari lazima wangechapika, raia walishaanza kusogea.
Bila shaka hao ndio wale polisi jamii waliojadilowa hapa
Rais Samia futa kabisa kitu kinachoitwa Polisi jamii
Walioanzisha hiki kitu kinachoitwa polisi jamii walikusudia mema lakini implementation yake zero. Hakuna fungu linalotoka wizara ya mambo ya ndani au jeshi la polisi kwaajili ya posho na mishahara ya vijana wa polisi jamii. Inawezekanaje mtu ambaye hana mshahara au posho maalumu aruhusiwe...www.jamiiforums.com
Wewe huna akili, baada ya kumkamata walishindwa nini kuwapa taarifa hao wananchi waliokuwa wamewazunguka? hilo eneo hakuna VEO/Mwenyekiti?Wajitambulishe kwa mhalifu anayekimbia?
Hao ni watekaji sema walishitukiwa na wananchiHuyo dereva wao asingekua na mguu wa kuku hao askari lazima wangechapika, raia walishaanza kusogea.
Bila shaka hao ndio wale polisi jamii waliojadilowa hapa
Rais Samia futa kabisa kitu kinachoitwa Polisi jamii
Walioanzisha hiki kitu kinachoitwa polisi jamii walikusudia mema lakini implementation yake zero. Hakuna fungu linalotoka wizara ya mambo ya ndani au jeshi la polisi kwaajili ya posho na mishahara ya vijana wa polisi jamii. Inawezekanaje mtu ambaye hana mshahara au posho maalumu aruhusiwe...www.jamiiforums.com
tumiaga akili dogo. Ni kweli huna akili lakini jitahidi kufikiri vizuri. Wajitambulishe vipi kwa mhalifu anayekimbia na kufanya uhalifu wake kwa kutumia pikipiki? Hivi kwanini hunaga akili dogo?Wewe ni mjinga sn, kwahiyo Buza hakuna uongozi? je na watekaji nao wakifanya hivyo? walishindwa nini kuwapa taarifa hao wananchi na huku matukio ya utekaji yamejaa?
Askari midebwedo haoSasa endeleeni kufuga wahalifu na kufanya uhalifu mkifikiri mpo salama. Jeshi la polisi lipo Imara na madhubuti sana kukabiliana na wahalifu.
Wawape ili iwaje? Kama ulitaka taarifa ndio hii hapa sasa nimekuletea.Wewe huna akili, baada ya kumkamata walishindwa nini kuwapa taarifa hao wananchi waliokuwa wamewazunguka? hilo eneo hakuna VEO/Mwenyekiti?
Endelea na uhalifu wako utakumbana na moto wake.Askari midebwedo hao
Bila video kwenda viral huyo bwanamdogo angekua ashaandaliwa utaratibu wa akhera amshukuru sana alierekodi.Hao ni watekaji sema walishitukiwa na wananchi
Itakuwa vyema sana siku moja ufunzwe adabu.Hao ni watekaji sema walishitukiwa na wananchi
Huyo kimbaumbau kawahangaisha namna hiyo, mimi hawanikamati kindezi wanakula mbata labda wanichape risasi miguu yote nafasi ambayo pia sitowapa.Endelea na uhalifu wako utakumbana na moto wake.
Wewe una laana, baada ya kumkamata walishindwa nini kutoa taarifa kwa hao wananchi kuwa tumemkamata fulani tunampeleke kituo X?tumiaga akili dogo. Ni kweli huna akili lakini jitahidi kufikiri vizuri. Wajitambulishe vipi kwa mhalifu anayekimbia na kufanya uhalifu wake kwa kutumia pikipiki? Hivi kwanini hunaga akili dogo?
Hawatakiwi kutoa taarifa? wewe unaendekeza matukio ya kijinga snWawape ili iwaje? Kama ulitaka taarifa ndio hii hapa sasa nimekuletea.
Ana chembechembe za uhalifu huyo aidha yeye mwenyewe au watu wa karibu yake.Embu acha utoto wako hapa. Yaani wewe kila siku unaunga mkono uovu tu Utafikiri na wewe ni mhalifu. Kwanini usiulize sababu ya yule wa pikipiki aliyekuwa anakamatwa kutokutii Amri?
Upo sahihi tuna polisi ya hovyo sn haifai hata kidogo, sahivi angekuwa ni marehemuBila video kwenda viral huyo bwanamdogo angekua ashaandaliwa utaratibu wa akhera amshukuru sana alierekodi.
Basi endelea na uhalifu wako . Utajuta kuzaliwa siku mojaHuyo kimbaumbau kawahangaisha namna hiyo, mimi hawanikamati kindezi wanakula mbata labda wanichape risasi miguu yote nafasi ambayo pia sitowapa.
Mimi huniwezi na siyo mjinga kama UWT wenzioItakuwa vyema sana siku moja ufunzwe adabu.
Tii Sheria bila shuruti mambo kama haya hayakupati,uibe,uibe wake za watu unategemea niniWewe ni mjinga sn, kwahiyo Buza hakuna uongozi? je na watekaji nao wakifanya hivyo? walishindwa nini kuwapa taarifa hao wananchi na huku matukio ya utekaji yamejaa?