Jeshi la Polisi lawakamata watuhumiwa 4 kati ya 6 waliofanya tukio la kumlawiti binti wa 'Yombo'. Wasema binti yupo salama

sasa tutatoa taarifa vipi na nyie mnazuia video kusambazwa!sasa mm nitawajuaje watuhumiwa bila kuangalia video
 
Safi sana ,atleast mmeanza vizuri ,Bado Afande huyo aliyewatuma ila kama na yeye amejificha basi ingependeza mngelitaja jina lake ili wadau wajue anayetafutwa ni flani sasa bila kutaja hao wanaotafutwa utajuaje hata akija kuishio kwako na akadanganya kama yupo likizo?
 
Kuna jamaa aliua MKOA wa Kilimanjaro mkewe na jamaa aliyemfumania. Haikuchukua dakika hata 10,wakafika chuo alipokuwa anasomea,hakuna aliyepata taarifa hata mmoja. Wakaitwa rafiki zake wa katibu bila wao kujua nani anawaita na wanaitiwa nini. Zikachukuliwa tu simu zao. Baba na mama pia wakakamatwa. Ila jamaa aanadunda mtaani na ni dereva wa gari za Serikali kwa Sasa. Na yupo kwenye mitandao ya kijamii. Wangeamua wangempoteza
 
Inawezekana tukio lilifanyika huko nyuma. Na eneo pia lilikuwa ni dodoma? sio Dar es salaam, yombo dovya?

Taarifa ya polisi huitaki? Unavyombo vyako vya Upelelezi😂 ukalisaidie jeshi🤣🤣
 
Jeshi la Polisi hutaja umri na kazi za watuhumiwa! Mbona Hawa ni kimya kimya
 
Huyu kijan kwenye picha hapo ndio Clinton alisoma shuke ya secondary mbagala kuu akahamishwa na kunalizia mbagala secondary. Chanzo ni utukutu na bangi
 
LAKINI HIVI HAWA WATU WALIOKAMATWA KU DISCLOVE MAJINA YAO KUTAKUWA KUNA SHIDA KWENYE UPELELEZI? PEOPLE ARE CURIOUS TO THIS,HAITOSHI KUSEMA WAMEKAMATWA TU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…