Jeshi la Polisi lazuia mkutano wa Mbowe, atakiwa kuripoti Polisi Kinondoni

Tuliosema warudishe posho wabunge wa chadema waliojifanya wako Lockdown hatukukosea wako Dar wanajirusha Mbowe huyo yuko Dar hayuko dodoma
Mbona wabunge wa CCM wapo mitaani hawarudishi posho
 
Mzee wa Milembe ni nani?
Chadema waende UN waende kwenye taasisi zote za haki za binadamu wamshitaki spika kwenye mabunge yote makubwa Duniani waishitaki Serikali ya CCM bila kifanya hivyo watambue kuwa mwakani CCM itawavuruga na kubakia kuwa kama TLP
 
Kwani yupo DSM au Dodoma?
Kama yupo dsm maana yake kashindwa kwenda bungeni ila yupo dsm anafanya siasa kwenye mji wa mr mahips?
 
Kwani yupo DSM au Dodoma?
Kama yupo dsm maana yake kashindwa kwenda bungeni ila yupo dsm anafanya siasa kwenye mji wa mr mahips?
Spika hataki warudi Bungeni waende Dodoma kufanya nini
 
POLISI WA TANZANIA wanatumiwa na BASHITE kama DUREX
 
Kuingia bungeni lockdown

Mkutano no lockdown.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Policcm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…