Jeshi la Polisi Tanazania linafanya kazi nzuri sana kisasa, kwa mipango na weledi wa kiwango cha kimataifa kabisa kote nchini

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Mungu Ibariki Polisi Tanazania kwa kufanya kazi kisasa na kwa weledi wa kiwango cha kimataifa katika kubaini shari za bandits na kulinda usalama wa raia, mali zao na makazi ya waTanzania wote, bila kusubiri athari za fujo, vurugu na uporaji uaopangwa kabla na vibaka wahalifu na matepeli wanaotumia mgongo wa uhuru wa kufanya siasa nchini, kufanikisha agenda zao ovu dhidi ya umoja, amani na mshikamano miongoni mwa waTanzania.

Well done IGP Camillus Mongoso Wambura, unafanya kazi nzuri sana afande pamoja na vijana wako kote nchini.

waTanzania wote wanafurahia uhakika wa amani na utulivu kwenye maeneo yao ya biashara, kilimo, ufugaji, kazi na majukumu yao ya kila siku ya kujitafutia na kujiongezea kipato.

Asante Sana Rais Dr.Samia Suluhu Hassan kwa kuliwezesha jeshi la polisi kwa hali na mali na kulifanya liwe la kisasa zaidi, na imara zaidi ukilinganisha na nyakati zilizopita 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
🚮
 
Marehemu mchungaji Mtikila aliwahi kuzungumzia ugonjwa mmoja unaitwa Epidomia yaani Unyani.
Wakati ule sikumuelewa, ila sasa nimeanza kuuelewa!
Ukiwahi tiba utapona tuu ndugu yangu!
Yaani,
ni ugonjwa ambao umefanya baadhi ya vyama vya siasa nchini kuona wao ndio wana haki miliki ya uropokaji, mihemko, ubishi, makasiriko na kuporomosha matusi mazito mazito dhidi ya wenye maoni na mtazamo tofauti dhidi yao,

zaidi sana,
ugonjwa huo wa epidomia umefanya baadhi ya vyama vya siasa kuona kwamba agenda yao kubwa ni fujo, vurugu, uharibifu, uzushi, uongo na kuona kwamba hayo ndio mambo muhimu ya kuwatambulisha wao kitaifa na kimataifa.

Athari za ugonjwa wa Epidomia,
ni pamoja na kubebwa ufala kifikra na kuchochewa kufanya mambo haramu kinyume cha sheria na matapeli wa kisiasa, na kujikuta unaumizwa au kupoteza maisha kilofa sana gentleman 🐒
 
Mungu Ibariki Polisi Tanazania kwa kufanya kazi kisasa na kwa weledi wa kiwango cha kimataifa katika kubaini shari za bandits na kulinda usalama wa raia, mali zao na makazi ya waTanzania wote, bila kusubiri athari za fujo, vurugu na uporaji uaopangwa kabla na vibaka wahalifu na matepeli wanaotumia mgongo wa uhuru wa kufanya siasa nchini, kufanikisha agenda zao ovu dhidi ya umoja, amani na mshikamano miongoni mwa waTanzania.

Well done IGP Camillus Mongoso Wambura, unafanya kazi nzuri sana afande pamoja na vijana wako kote nchini.

waTanzania wote wanafurahia uhakika wa amani na utulivu kwenye maeneo yao ya biashara, kilimo, ufugaji, kazi na majukumu yao ya kila siku ya kujitafutia na kujiongezea kipato.

Asante Sana Rais Dr.Samia Suluhu Hassan kwa kuliwezesha jeshi la polisi kwa hali na mali na kulifanya liwe la kisasa zaidi, na imara zaidi ukilinganisha na nyakati zilizopita 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Chama Cha Mashetani. Jeshi la Polisi linavunja watu miguu ili iweje? Jeshi la kisiasa Hilo.

Mama Samia anazidi kufanya vibaya sana kwenye kusimama kidete kwamba haki za kibinadamu ni haki za wote na sio CCM peke yake
 
vibaka wa kisiasa nchini wanawatapeli kifikra na kuwachochea muende kufanya kazi haramu za kuvunja sheria,

sasa wewe ukivunjwa mguu unalalamika, huo si ulofa wa wazi wazi kabisa gentleman?🐒
 
Mungu Ibariki Polisi Tanazania kwa kufanya kazi kisasa na kwa weledi wa kiwango cha kimataifa katika kubaini shari za bandits na kulinda usalama wa raia, mali zao na makazi ya waTanzania wote, bila kusubiri athari za fujo, vurugu na uporaji uaopangwa kabla na vibaka wahalifu na matepeli wanaotumia mgongo wa uhuru wa kufanya siasa nchini, kufanikisha agenda zao ovu dhidi ya umoja, amani na mshikamano miongoni mwa waTanzania.

Well done IGP Camillus Mongoso Wambura, unafanya kazi nzuri sana afande pamoja na vijana wako kote nchini.

waTanzania wote wanafurahia uhakika wa amani na utulivu kwenye maeneo yao ya biashara, kilimo, ufugaji, kazi na majukumu yao ya kila siku ya kujitafutia na kujiongezea kipato.

Asante Sana Rais Dr.Samia Suluhu Hassan kwa kuliwezesha jeshi la polisi kwa hali na mali na kulifanya liwe la kisasa zaidi, na imara zaidi ukilinganisha na nyakati zilizopita 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Chawa wa mama wanaishushia sana viwango JF. Sasa huu ndiyo uharo gani?
 
Chama Cha Mashetani(ccm) mnatia kinyaa
 
Kwa mwandiko wa hivi wewe ni kilaza tu ambaye utaishia kuwa chawa.

Ilitakiwa ujana wako uutumie kusoma vizuri na sio kugeuka chawa ukubwani.

Mtu akisoma tu andiko lako anajua ni wale wale sana sana form four.
 
Jana zaidi ya wanachama 6 wa chadema wamepigwa,kuumizwa huku wengine wakivunjwa miguu,mikono na police haohao unaowasifia
 
Chawa wa mama wanaishushia sana viwango JF. Sasa huu ndiyo uharo gani?
Gentleman,
nawe siku zingine kubali kubebwa ufala na hao matapeli wa kisiasa, ili uende kuvunjwa kiuno kwa kuchochewa kufanya mambo haramu kinyume na sheria ili hatimae uwapelekee familia yako zawadi ya mzigo wa ulemavu wako wa kujitakia 🐒
 
Mungu Ibariki Polisi Tanazania kwa kufanya kazi kisasa na kwa weledi wa kiwango cha kimataifa katika kubaini shari za bandits na kulinda usalama wa raia, mali zao na makazi ya waTanzania wote, bila kusubiri athari za fujo, vurugu na uporaji uaopangwa kabla na vibaka wahalifu na matepeli wanaotumia mgongo wa uhuru wa kufanya siasa nchini, kufanikisha agenda zao ovu dhidi ya umoja, amani na mshikamano miongoni mwa waTanzania.

Well done IGP Camillus Mongoso Wambura, unafanya kazi nzuri sana afande pamoja na vijana wako kote nchini.

waTanzania wote wanafurahia uhakika wa amani na utulivu kwenye maeneo yao ya biashara, kilimo, ufugaji, kazi na majukumu yao ya kila siku ya kujitafutia na kujiongezea kipato.

Asante Sana Rais Dr.Samia Suluhu Hassan kwa kuliwezesha jeshi la polisi kwa hali na mali na kulifanya liwe la kisasa zaidi, na imara zaidi ukilinganisha na nyakati zilizopita 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Pamoja na pongezi tumshauri Amiri jeshi mkuu aangalie jinsi ya kuongeza ajira za polisi na hata ikiwezekana kuazima polisi wengine nje, kwa sababu inaonekana hasira za wananchi zinazidi kuongezeka kila kunapokucha. Pamoja na kumuua Kibao na jana mwingine bado wanaonesha kiburi tu.
 
huenda maisha ya kibao yalidhulumiwa na wale ambao walitaka kudhulumu uhai wa Sigrada Mligo kwa maelekezo ya makamu Mwenyekiti wa chadema Taifa.

Hata hivyo,
jeshi la polisi nchini, litaendelea kutumia weledi katika kudeal na bandits nchini ili hatimae umoja,amani na utulivu wa waTanzania wote vitamalaki.

Usithubutu kujichanganya gentleman 🐒
 
Back
Top Bottom