Jeshi la Polisi Tanazania linafanya kazi nzuri sana kisasa, kwa mipango na weledi wa kiwango cha kimataifa kabisa kote nchini

Kwa mwandiko wa hivi wewe ni kilaza tu ambaye utaishia kuwa chawa.

Ilitakiwa ujana wako uutumie kusoma vizuri na sio kugeuka chawa ukubwani.

Mtu akisoma tu andiko lako anajua ni wale wale sana sana form four.
Relax basi ndugu muandishi mzuri mwenye mihemko na makasiriko usie na point wala hoja.

Hata hivyo,
ni muhimu zaidi ujikite tu kwenye hoja mahususi mezani na itapendeza zaidi 🐒
 
Gentleman,
huenda maisha ya kibao yalidhulumiwa na wale ambao walitaka kudhulumu uhai wa Sigrada Mligo kwa maelekezo ya makamu Mwenyekiti wa chadema Taifa.

Hata hivyo,
jeshi la polisi nchini, litaendelea kutumia weledi katika kudeal na bandits nchini ili hatimae umoja,amani na utulivu wa waTanzania wote vitamalaki.

Usithubutu kujichanganya gentleman 🐒
Hata jana watakuwa waliua kwa maelekezo ya makamu mwenyekiti wa chadema.
Tumshauri mama aongeze polisi, maana inaonekana huyu makamu ataendelea kuelekeza.
 
unaelewa gentleman,

kuishi ni kristo kufa ni faida,

ila kufa kilofa ni kitu mbaya sana aise, usithubutu kugusa sharubu za jeshi la polisi Tanzania tafadhali🐒
 
Marehemu mchungaji Mtikila aliwahi kuzungumzia ugonjwa mmoja unaitwa Epidomia yaani Unyani.
Wakati ule sikumuelewa, ila sasa nimeanza kuuelewa!
Ukiwahi tiba utapona tuu ndugu yangu!
Mbona kama umepanic mzee Chakaza....
 
Pamoja na pongezi tumshauri Amiri jeshi mkuu aangalie jinsi ya kuongeza ajira za polisi na hata ikiwezekana kuazima polisi wengine nje, kwa sababu inaonekana hasira za wananchi zinazidi kuongezeka kila kunapokucha. Pamoja na kumuua Kibao na jana mwingine bado wanaonesha kiburi tu.
Mkuu bora ukutane na jambazi na siyo polisi wa Tanzania
 
Mungu Ibariki Polisi Tanazania kwa kufanya kazi kisasa na kwa weledi wa kiwango cha kimataifa katika kubaini shari za bandits na kulinda usalama wa raia, mali zao na makazi ya waTanzania wote, bila kusubiri athari za fujo, vurugu na uporaji uaopangwa kabla na vibaka wahalifu na matepeli wanaotumia mgongo wa uhuru wa kufanya siasa nchini, kufanikisha agenda zao ovu dhidi ya umoja, amani na mshikamano miongoni mwa waTanzania.

Well done IGP Camillus Mongoso Wambura, unafanya kazi nzuri sana afande pamoja na vijana wako kote nchini.

waTanzania wote wanafurahia uhakika wa amani na utulivu kwenye maeneo yao ya biashara, kilimo, ufugaji, kazi na majukumu yao ya kila siku ya kujitafutia na kujiongezea kipato.

Asante Sana Rais Dr.Samia Suluhu Hassan kwa kuliwezesha jeshi la polisi kwa hali na mali na kulifanya liwe la kisasa zaidi, na imara zaidi ukilinganisha na nyakati zilizopita 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Na Askofu Kalikawe Bagonza:

UJINGA WANGU SASA UMEKOMAA

Niliamini UHAINI ni kosa kubwa. Neno lenyewe tu, linaogopesha kulisoma, kuliandika na kulitamka. Ni kitendo cha kutaka au kupindua serikali yoyote (halali au haramu).

Sasa kuna mtu mmoja katuhumiwa kutaka kutufanyia hayo. Huyu atakuwa ni mtu mbaya sana. Kwa nini atuhumiwe yeye kwa kosa hili baya? Nikawaza;

1. Kesi yake ingesikilizwa wazi (uwanja wa Taifa maana Kisutu hapatoshi).

2. Pale uwanjani wangeweka vipaza sauti na televisheni zote zirushe mubashara ili watu wote waone.

3. Makarandinga ya polisi yangesomba wote wasio na nauli kwenda kusikiliza kesi.

4. Asasi za kiraia na kianaharakati wangetoa maji ya kunywa bure kwa waliofika kusikiliza.

5. Posho za watumishi wa mahakama zingeongezwa ili kuwatia moyo wakati wa usikilizaji.

6. Siku ya hukumu ingekuwa siku ya mapumziko ili nchi itulie na kusikiliza hukumu hiyo.

Kwa nini nafikiri hivi?

a) Ingetoa fundisho la wazi kwa watu wote wanaopenda kuchezea amani ya nchi yetu.

b) Elimu ya uraia na utii wa sheria bila shuruti ingetolewa kwa vitendo kupitia kesi hii.

c) Hatua hii ingehamasisha watu wengi zaidi kwenda kupiga kura siku ya uchaguzi mkuu bila kuhofia Polisi kuvuruga uchaguzi huo.

d) Wale wenye “mdomomdomo” kama mimi, wanaopenda kutumia neno HAKI kuliko amani, wangekuwa wamefungwa goli la kisigino na timu AMANI isiyopenda kutamka neno haki.

e) Hatua hii, ingeua kabisa kampeini za za NO REFORMS, NO ELECTION kwa sababu utawala wa sheria ungeonekana wazi.

f) Chama kingepata fursa nzuri ya kuonyesha ushahidi jinsi mabeberu wanapandikiza wahaini katika siasa zetu.

SASA, nimegundua ujinga wangu umekomaa. Kumbe kesi hii ni muhimu na nyeti. Haiwezi kuwa wazi. Ni kwa ajili ya wanasheria na wateule wachache wenye vifurushi kwenye simu.

Nilidhani nchi hii ni yetu wote kumbe ya wana sheria tu na polisi. Hata serikali iliyotaka “kupinduliwa” ni yetu au ya wana sheria na polisi?

Kama ni yetu wananchi, kwa nini hairuhusiwi watu kwenda mahakamani kusikiliza?

Aisee ujinga wangu una gharama. Akili zimeisha kichwani. Nimebakiza za kunipeleka msalani.

Wajinga wengine kama mimi wameenda wakaishia kuvunjwa viuno, mikono, na migongo.

Hili giza la kuona haki ikitendeka haliwezi kutuacha salama.

Nawaombea uponyaji walioumizwa.
Nawaombea waliowaumiza ili wao wasiumizwe maishani maana inauma.

Vitendo hivi vimelaaniwa vya kutosha. Nafasi za kulaani zimejas. Nitalaani kesho.
 
huna haja ya kubababika na kipanga kalikawe hususani kwenye suala la ukatili wa kingono,

huna haja kabisaa ya kubababika na mtu ambae amevunja ndoa nyingi mno za waamini wake kwa uzinzi na kukimbilia kujificha madhabahuni kanakwamba ni mdogo wake yesu,

huna haja ya kubababika na mtu ambae ametelekeza watoto kibao mtaani baada ya kuwarubuni kingono na kuvipiga mimba vibinti vidogo vya watu visivyo na hatia, vilivyokua vikisali kanisani kwake.

Kiufupi kabisa,
kalikawe has no moral authority to lecture anybody else within the country, he is very dangerous hypocrisy 🐒
 
Unawasifia hawa Polisi wanaoteka watu waloenda kusikiliza kesi halafu wanawapiga na kuvunja vunja viungo halafu wanaenda kuwatupa msituni? Shame on you!💩
 
Mungu Ibariki Polisi Tanazania kwa kufanya kazi kisasa na kwa weledi wa kiwango cha kimataifa katika kubaini shari za bandits na kulinda usalama wa raia, mali zao na makazi ya waTanzania wote, bila kusubiri athari za fujo, vurugu na uporaji uaopangwa kabla na vibaka wahalifu na matepeli wanaotumia mgongo wa uhuru wa kufanya siasa nchini, kufanikisha agenda zao ovu dhidi ya umoja, amani na mshikamano miongoni mwa waTanzania.

Well done IGP Camillus Mongoso Wambura, unafanya kazi nzuri sana afande pamoja na vijana wako kote nchini.

waTanzania wote wanafurahia uhakika wa amani na utulivu kwenye maeneo yao ya biashara, kilimo, ufugaji, kazi na majukumu yao ya kila siku ya kujitafutia na kujiongezea kipato.

Asante Sana Rais Dr.Samia Suluhu Hassan kwa kuliwezesha jeshi la polisi kwa hali na mali na kulifanya liwe la kisasa zaidi, na imara zaidi ukilinganisha na nyakati zilizopita 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Ni kweli linastahili pongezi kwa kufanikiwa kuwakamata waliojaribu kumuua Tundu Lisu, waliomteka Mo Dewji na waliomuua Mzee Kibao baada ya kumteka mchana kweupe.
Na pia limefanikiwa kukamilisha upelelezi wa kesi ya kijana aliyeuliwa na polisi Songea baada ya kunyang'anywa fedha zake, kesi ambayo Rais Samia aliingilia kati.
Aidha limefanikiwa kuvunja rekodi ya kuzuia mhimili wa mahakama kujisimamia. Hongera sana Igp Wambura.
 
usipotoshe wadau kwa kuropoka gentleman,

waliovunja rekodi ni walinzi wa heche waliopewa jukumu la kumshushia kipondo cha maana sana Sigrada Mligo huku heche akishuhudia, tukio ambalo linaashiria kwamba huenda genge hilo la kialifu ndilo lilimshughulikia na kumdhulumu kibao 🐒
 
Back
Top Bottom