Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
- Thread starter
- #61
ndugu mdau,Mda sio mrefu ccm kwenye jamii zetu mtatengwa mbaki kulia na kufurahi wenyewe.
Police na ndugu zao watatengwa katika jamii zetu wabaki kulia na kufurahi wenyewe.
Ndo kinachokuja na ndo ambacho tiyari mmekipanda
imani, dhana na nadharia potofu kama hizo mbaki nazo huko huko kwa washirikina wanao wapigia hizo ramli chonganishi.
vitu nonsense kama hivyo huna haja ya kuja navyo kumbwelambwela humu JF 🐒