Muda utaongea...Asanti sana kuupokea ukweli usio pingika ndugu mdau inatia moyo sana kwa waTanzania wazalendo 🐒
ndugu waropokaji,Matunda ya haya yote wanaenda kuyaona live ndani ya siku chache, wasifikiri kuwaingiza police katika mgogoro huu watabaki salama ,au hili litapita salama .Twende tu
siwasifii tu gentleman,Unawasifia hawa Polisi wanaoteka watu waloenda kusikiliza kesi halafu wanawapiga na kuvunja vunja viungo halafu wanaenda kuwatupa msituni? Shame on you!💩
Inaweza kuwa unahudumiwa kwa kila kitu,iwapo hujaona dosari wape mauwa yao kwani huna baya na huduma yao.Mungu Ibariki Polisi Tanazania kwa kufanya kazi kisasa na kwa weledi wa kiwango cha kimataifa katika kubaini shari za bandits na kulinda usalama wa raia, mali zao na makazi ya waTanzania wote, bila kusubiri athari za fujo, vurugu na uporaji uaopangwa kabla na vibaka wahalifu na matepeli wanaotumia mgongo wa uhuru wa kufanya siasa nchini, kufanikisha agenda zao ovu dhidi ya umoja, amani na mshikamano miongoni mwa waTanzania.
Well done IGP Camillus Mongoso Wambura, unafanya kazi nzuri sana afande pamoja na vijana wako kote nchini.
waTanzania wote wanafurahia uhakika wa amani na utulivu kwenye maeneo yao ya biashara, kilimo, ufugaji, kazi na majukumu yao ya kila siku ya kujitafutia na kujiongezea kipato.
Asante Sana Rais Dr.Samia Suluhu Hassan kwa kuliwezesha jeshi la polisi kwa hali na mali na kulifanya liwe la kisasa zaidi, na imara zaidi ukilinganisha na nyakati zilizopita 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
naskia mumeo mama Ima aliwahi kutolewa baru kutoka ngaramtoni wakaenda kumkamatia karibia babati mjini dah,Siku wakimvuja miguu mumeo ndiyo utajua kama wanafanya kazi nzuri au ni ukatili tupu
naskia mumeo mama Ima aliwahi kutolewa baru kutoka ngaramtoni wakaenda kumkamatia karibia babati mjini dah,Siku wakimvuja miguu mumeo ndiyo utajua kama wanafanya kazi nzuri au ni ukatili tupu
kama Taifa hatuna budi kwa pamoja kulipingeza jeshi letu la polisi na kwakweli kuliombea kwa Mungu ili waendelee kufanya kazi kwa weledi zaidi tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu wa kihistoria mwezi October mwaka huu 2025,Inaweza kuwa unahudumiwa kwa kila kitu,iwapo hujaona dosari wape mauwa yao kwani huna baya na huduma yao.
Subiri waje siku moja wamkamate Mama yakoMungu Ibariki Polisi Tanazania kwa kufanya kazi kisasa na kwa weledi wa kiwango cha kimataifa katika kubaini shari za bandits na kulinda usalama wa raia, mali zao na makazi ya waTanzania wote, bila kusubiri athari za fujo, vurugu na uporaji uaopangwa kabla na vibaka wahalifu na matepeli wanaotumia mgongo wa uhuru wa kufanya siasa nchini, kufanikisha agenda zao ovu dhidi ya umoja, amani na mshikamano miongoni mwa waTanzania.
Well done IGP Camillus Mongoso Wambura, unafanya kazi nzuri sana afande pamoja na vijana wako kote nchini.
waTanzania wote wanafurahia uhakika wa amani na utulivu kwenye maeneo yao ya biashara, kilimo, ufugaji, kazi na majukumu yao ya kila siku ya kujitafutia na kujiongezea kipato.
Asante Sana Rais Dr.Samia Suluhu Hassan kwa kuliwezesha jeshi la polisi kwa hali na mali na kulifanya liwe la kisasa zaidi, na imara zaidi ukilinganisha na nyakati zilizopita 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Watavuja kucha tu utasikia kilio au?Subiri waje siku moja wamkamate Mama yako
ndugu mdau,Subiri waje siku moja wamkamate Mama yako
Subiri kwanza CCM wakianza kuvurugana tuone kama kweli Polisi wanafanya kazi nzuri. Maana tunaona kuwa wamezoea kupokea maelekezo ya kisiasa na hawafanyi kazi kwa mujibu wa sheria. Ukitaka kufahamu kuwa polisi wako kimaslahi Acha siku uibiwe uende polisi.Mungu Ibariki Polisi Tanazania kwa kufanya kazi kisasa na kwa weledi wa kiwango cha kimataifa katika kubaini shari za bandits na kulinda usalama wa raia, mali zao na makazi ya waTanzania wote, bila kusubiri athari za fujo, vurugu na uporaji uaopangwa kabla na vibaka wahalifu na matepeli wanaotumia mgongo wa uhuru wa kufanya siasa nchini, kufanikisha agenda zao ovu dhidi ya umoja, amani na mshikamano miongoni mwa waTanzania.
Well done IGP Camillus Mongoso Wambura, unafanya kazi nzuri sana afande pamoja na vijana wako kote nchini.
waTanzania wote wanafurahia uhakika wa amani na utulivu kwenye maeneo yao ya biashara, kilimo, ufugaji, kazi na majukumu yao ya kila siku ya kujitafutia na kujiongezea kipato.
Asante Sana Rais Dr.Samia Suluhu Hassan kwa kuliwezesha jeshi la polisi kwa hali na mali na kulifanya liwe la kisasa zaidi, na imara zaidi ukilinganisha na nyakati zilizopita 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Mda sio mrefu ccm kwenye jamii zetu mtatengwa mbaki kulia na kufurahi wenyewe.ndugu waropokaji,
acheni kupotoshana kilofa namna hiyo tafadhali 🐒
Gentleman,Subiri kwanza CCM wakianza kuvurugana tuone kama kweli Polisi wanafanya kazi nzuri. Maana tunaona kuwa wamezoea kupokea maelekezo ya kisiasa na hawafanyi kazi kwa mujibu wa sheria. Ukitaka kufahamu kuwa polisi wako kimaslahi Acha siku uibiwe uende polisi.