😄🤣😂Ulikuwa wapi kipindi inatolewq au ni lazima kupost
Utaeelewa hapohapo siku ikishafikaMAPINDUZI HAYANA MATHEMATICAL CALCULATIONS.
NI KUFA AU KUPONA
Mnaajipa moyo hahaha oya siku zinahesabika mtasema yote pumbavuHuyo ni Mwanajeshi aliyeachishwa kazi kwa mwenendo mbaya wa kufanya uanaharakati akiwa jeshini.
Mnaajipa moyo hahaha oya siku zinahesabika mtasema yote pumbavuHuyo ni Mwanajeshi aliyeachishwa kazi kwa mwenendo mbaya wa kufanya uanaharakati akiwa jeshini.
Jw chukueni nchi ili uwe mwisho wa wanamtandao wanaotafuna hii nchiZingatia: "Hoja hizo zinatolewa na watu waliopo mazingira ya kijeshi"
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linautaarifu umma wa Watanzania kuwa kumejitokeza baadhi ya watu wanaotumia mitandao ya kijamii kuweka maudhui yanayochochea kuingiza Jeshi katika mambo ya siasa.
Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
Aidha, baadhi ya hoja hizo zinatolewa na watu waliopo katika mazingira ya kijeshi, kujinasibisha na Jeshi, walioachishwa Jeshi kwa tabia na mwenendo mbaya pamoja na kujihusisha na siasa na uanaharakati.
Kwa mantiki hiyo, JWTZ linapenda kuutaarifu Umma wa Watanzania kuwa linaendelea kutekeleza majukumu yake kikatiba kwa uaminifu, utiii na uhodari kwa kuzingatia kiapo chetu.
Pia Soma: Mwanajeshi, Kapteni Tesha ajitoa muhanga kuongea hatari ya Taifa linapoelekea
Sasa mimi nitoke halafu vijana wenye nguvu watakuwa wanafanya nini! Watajificha uvunguni?Wewe hutoki kwahiyo unasubiri ushindi wa kuletewa?? 🤔
Itakusaidia nini? Kwamba unataka akuaminishe mi nani? Subiri kuelekea 29/10 utajua mi nani.Tunaomba Mkuu wa kambi ya Airwing ajitokeze asema kama hana askari yoyote kwa jina la Tesha.... over!!
Tukishakomboa taifa jamanUzinzi tu..kukomboa taifa aaaaah