Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) latoa ufafanuzi kuhusu yanayoendelea mtandaoni

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) latoa ufafanuzi kuhusu yanayoendelea mtandaoni

"Aidha, baadhi ya hoja hizo zinatolewa na watu waliopo katika mazingira ya kijeshi, kujinasibisha na Jeshi, walioachishwa Jeshi kwa tabia na mwenendo mbaya pamoja na kujihusisha na siasa na uanaharakati."

Sasa mngetuambia afande tesha ni katika kundi lipi? Ni anajinasibisha na jeshi ama bado mjeda, ama alishaachishwa jeshi. Leteni habari kamili

Mugambo wanaruka na kukanyagana
 
Ni aibu sana kwa Samia kuifikisha nchi huku. Hatukuwahi kufikiria tutafikia kwenye haya mambo ya jeshi. Aibu zao wote wana mtandao. Sasa Bi Mkubwa si aachie kiti tu, kwa nini anatung’ang’ania? Yani hafikirii mpaka tunafika huku ni kwa sababu yake!! Nchi imemshinda jamani. Wenye kuweza kuokoa yanayokuja kulitia doa taifa waokoe, ila tunakokwenda siko.
 
Ndugu zangu Watanzania,

VIDEO:

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limeutaarifu umma kuwa limebaini uwepo wa baadhi ya watu wanaotumia mitandao ya kijamii kusambaza maudhui yenye lengo la kulihusisha Jeshi na mambo ya siasa.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Oktoba 4, 2025 na Kaimu Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano wa JWTZ, Kanali Bernard Masala Mlunga, baadhi ya watu hao wanajitambulisha kwa jina la Jeshi licha ya kuachishwa kutokana na tabia na mwenendo usiofaa, huku wengine wakijihusisha na siasa na uanaharakati.

Jeshi limesisitiza kuwa halitishiki na majaribio hayo na litaendelea kulinda amani, uhuru na mipaka ya Taifa kwa kuzingatia Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na misingi ya uadilifu wake.View attachment 3483398
lucas oct 29 mkyundu wako ni mali yangu nimeshawai mapema asiniingilie mtu
 
Hamna kitu hapo..
Tunamsubiri Samia mwenyewe ajibu, yeye si mkali wa kujibu kwa kejeli...
Tunataka amjibu kwa kejeli pia huyo Captain Tesha..

Hapo wanamtandao wanajiharishia wengine wana andaa passport kukimbia nchi.
Machawa wanasema barua ni ya aiyai Hahaha.

Magogoni kunachemka
 
Back
Top Bottom