Hatuwezi tukaongozwa na kiongozi asiye na uwezo
..tatizo la Mama Abduli ni ulaghai, ukatili, na ufisadi.
Hatuwezi tukaongozwa na kiongozi asiye na uwezo
NI KWELI.ila tunamtoaje? huko mtaani wanawaza mnachowaza?Hatuwezi tukaongozwa na kiongozi asiye na uwezo
Ukiijua female nature, comment kama hiyo haita kusumbua.😂😂😂😂 Mkuu nimecheka hadi nimejamba hapa mbele ya watoto, kwamba mwanaume ni Tesha tu wengine sisi ni bure tu
Mazafaka kabisa hawa ndio wameandika utumbo utumbo gani huu hivi Captain Tesha mboni amenyooka wao wanataka kuleta konakona za nini wanajifanya wamekatwa vichwa? StupidKwa mantiki hiyo, JWTZ linapenda kuutaarifu Umma wa Watanzania kuwa linaendelea kutekeleza majukumu yake kikatiba kwa uaminifu, utiii na uhodari kwa kuzingatia kiapo chetu.
Maandamano mpaka ikulu alipo kwenda kumchomoa huko huko, polisi wataua wangapi kwani acha waue tu ila mfano mdogo tu watu 1,000,000 hawawezi kuzuiwa na watu 500 au 600 wakiamua jambo hao 500/600 lazima waingie mitini au waungane na watu 1,000,000NI KWELI.ila tunamtoaje? huko mtaani wanawaza mnachowaza?
Sawa.tusije tukakimbiana humuMaandamano mpaka ikulu alipo kwenda kumchomoa huko huko, polisi wataua wangapi kwani acha waue tu ila mfano mdogo tu watu 1,000,000 hawawezi kuzuiwa na watu 500 au 600 wakiamua jambo hao 500/600 lazima waingie mitini au waungane na watu 1,000,000
Nimekupa simply mathematical calculations example haiihitaji hata utumie 4figure au periodic tableSawa.tusije tukakimbiana humu
Mkuu itapendeza zaidi ukimuita Kapt. Traore Tesha (Tisha Tisha-TT)Msishangae haka ka nchi kakachukuliwa siku zi nyingi. Dalili za mvua ni mawingu na wingu la kwanza ni Kapteni Tesha Traore
DuuhUnajamba jamba hovyo,huo mkund.u wako huwa wanaufir.a?
Hii taarifa ya Tesha ni kuupa umma taarifa tu kwamba maharage karibu yanaiva. Hata wanajeshi wamechoka na vitendo vya serikali hii dhalimu maana hadi wao hasa wenye vyeo vya chini wamekuwa wahanga wa utawala huu.CPt Tesha hajafukuzwa jeshini. Huwezi kufukuzwa au kuachishwa jeshini ukabaki na uniform. Hii ni ujanja kama ujanja mwingine tu. Kama ana akili mama mwambieni akae kando hali ni mbaya mno . Jeshini Kuna mpasuko.
Sio vyema kutukana wenzako.Unajamba jamba hovyo,huo mkund.u wako huwa wanaufir.a?
Captain na wewe upo jeiefu?Sio vyema kutukana wenzako.
MAPINDUZI HAYANA MATHEMATICAL CALCULATIONS.Nimekupa simply mathematical calculations example haiihitaji hata utumie 4figure au periodic table
Huyo ni Mwanajeshi aliyeachishwa kazi kwa mwenendo mbaya wa kufanya uanaharakati akiwa jeshini.Mbona kama haieleweki !
Hiyu mamako ni hewa kbs bora jeshi lichukue nchi tuu!Ndugu zangu Watanzania,
VIDEO:
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limeutaarifu umma kuwa limebaini uwepo wa baadhi ya watu wanaotumia mitandao ya kijamii kusambaza maudhui yenye lengo la kulihusisha Jeshi na mambo ya siasa.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Oktoba 4, 2025 na Kaimu Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano wa JWTZ, Kanali Bernard Masala Mlunga, baadhi ya watu hao wanajitambulisha kwa jina la Jeshi licha ya kuachishwa kutokana na tabia na mwenendo usiofaa, huku wengine wakijihusisha na siasa na uanaharakati.
Jeshi limesisitiza kuwa halitishiki na majaribio hayo na litaendelea kulinda amani, uhuru na mipaka ya Taifa kwa kuzingatia Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na misingi ya uadilifu wake.View attachment 3483398
Hiyo umeitoa wapi? Kuna mwanajeshi anayeachishwa kazi na kubaki na uniform za Jeshi? Mtatangatanga sana ila tunasubiri majibu ya maswali yetu na kabla ya 29/10 tutafanya jambo letu.Huyo ni Mwanajeshi aliyeachishwa kazi kwa mwenendo mbaya wa kufanya uanaharakati akiwa jeshini.
Msiwe na haraka vijana. Muda ni jawabu tosha.Hiyu mamako ni hewa kbs bora jeshi lichukue nchi tuu!
Huyo ni Mwanajeshi aliyeachishwa kazi kwa mwenendo mbaya wa kufanya uanaharakati akiwa jeshini.