Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) latoa ufafanuzi kuhusu yanayoendelea mtandaoni

Zingatia: "Hoja hizo zinatolewa na watu waliopo mazingira ya kijeshi"

Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari​

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linautaarifu umma wa Watanzania kuwa kumejitokeza baadhi ya watu wanaotumia mitandao ya kijamii kuweka maudhui yanayochochea kuingiza Jeshi katika mambo ya siasa.

Aidha, baadhi ya hoja hizo zinatolewa na watu waliopo katika mazingira ya kijeshi, kujinasibisha na Jeshi, walioachishwa Jeshi kwa tabia na mwenendo mbaya pamoja na kujihusisha na siasa na uanaharakati.

Kwa mantiki hiyo, JWTZ linapenda kuutaarifu Umma wa Watanzania kuwa linaendelea kutekeleza majukumu yake kikatiba kwa uaminifu, utiii na uhodari kwa kuzingatia kiapo chetu.
Pia Soma: Mwanajeshi, Kapteni Tesha ajitoa muhanga kuongea hatari ya Taifa linapoelekea
CPt Tesha hajafukuzwa jeshini. Huwezi kufukuzwa au kuachishwa jeshini ukabaki na uniform. Hii ni ujanja kama ujanja mwingine tu. Kama ana akili mama mwambieni akae kando hali ni mbaya mno . Jeshini Kuna mpasuko.
 
mimi ninachoona wameamua kumtumia huyu jamaa ambaye alikuwa mpambe wa Magufuli ili kuleta utulivu maana Magu yupo mioyoni mwa watanzania hata sasa na hata hawa wapambe wake nyuso zao zinapata heshima kutoka kwa watanzania si kwa kingine bali walikuwa wakimlinda mzalendo wa kweli ambaye alikuwa na nia ya zati na hii nchi.
 
Kazi inakaribia kukamilika let's wait for the right time....... Nawakumbusha Watanzania, No free Lunch lazima wajiandae kupambania Wanachokihitaji.
 
Kesho kama kuna Kampeni mama atafanya tutoana body language yake . Usiku huu watu hawalali vikao
 
Hebu jaribu tu kufikiri kidogo ukiwa na fikra huru. Kwamba, huyu 👇🏻👇🏻hapa kwenye picha ndiye msemaji wa JWTZ as we speak right now...

20251004_235241.jpg

Lakini leo mara baada Captain Tesha kumwaga mboga na ugali ikatolewa statement na aliyejiita "msemaji wa JWTZ" Kanali Benard Masanja Mlunga

Screenshot_20251004-233947.png
 
Samia ajitokeze yeye kama Amiri Jeshi Mkuu na kukemea vikali ...
Hapa inachezwa movie tu, kwanza msemaji mwenyewe anazungumza kama anasoma taarifa ya habari Radio Tanzania..🤣🤣🤣

uchaguzi hakuna na wananchi wanaingia road...
Wewe hauko mbali na mawazo yangu..
Kamoves kanachezwa kupumbaza watu..
Watu watapoa wakisubiri jeshi linachukua nchi.
 
Hebu jaribu tu kufikiri kidogo ukiwa na fikra huru. Kwamba, huyu 👇🏻👇🏻hapa kwenye picha ndiye msemaji wa JWTZ as we speak right now...

View attachment 3483486

Lakini leo mara baada Captain Tesha kumwaga mboga na ugali ikatolewa statement na aliyejiita "msemaji wa JWTZ" Kanali Benard Masanja Mlunga

View attachment 3483487
Kanali Ilonda ndio Msemaji na kadumu kwa muda kidogo sijui kwa nini huwa hatolewi, Kanali Masala ni Kaimu Msemaji na ana miaka michache nafasi hiyo.

Kanali Ilonda hayuko very articulate. Anaongea kama nafasi kachomekwa tu pale juu na huwa simuoni kama ana uelewa mzuri sana wa mambo na huwa hajui kufafanua vizuri jambo.

Kanali Masala ni mfafanuzi mzuri sana, ananyoosha sauti, anatulia na anaonyesha uwezo akiwa anaongea. Tafuta clips zao uwalinganishe uone, siwezi nikawa CDF natafuta mtu wa kusemea jambo zito nikamchukua Ilonda badala ya Masala.
 
Zingatia: "Hoja hizo zinatolewa na watu waliopo mazingira ya kijeshi"

Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari​

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linautaarifu umma wa Watanzania kuwa kumejitokeza baadhi ya watu wanaotumia mitandao ya kijamii kuweka maudhui yanayochochea kuingiza Jeshi katika mambo ya siasa.

Aidha, baadhi ya hoja hizo zinatolewa na watu waliopo katika mazingira ya kijeshi, kujinasibisha na Jeshi, walioachishwa Jeshi kwa tabia na mwenendo mbaya pamoja na kujihusisha na siasa na uanaharakati.

Kwa mantiki hiyo, JWTZ linapenda kuutaarifu Umma wa Watanzania kuwa linaendelea kutekeleza majukumu yake kikatiba kwa uaminifu, utiii na uhodari kwa kuzingatia kiapo chetu.
Pia Soma: Mwanajeshi, Kapteni Tesha ajitoa muhanga kuongea hatari ya Taifa linapoelekea
Dk 1 tu
 
mimi ninachoona wameamua kumtumia huyu jamaa ambaye alikuwa mpambe wa Magufuli ili kuleta utulivu maana Magu yupo mioyoni mwa watanzania hata sasa na hata hawa wapambe wake nyuso zao zinapata heshima kutoka kwa watanzania si kwa kingine bali walikuwa wakimlinda mzalendo wa kweli ambaye alikuwa na nia ya zati na hii nchi.
Sio kwamba code imetumwa kwa nini aliyekua mlinzi wa Magufuli kwa sasa
 
Back
Top Bottom