Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) latoa ufafanuzi kuhusu yanayoendelea mtandaoni

We mwenyewe si umeona Nchi imesimama mwanaume katoa order, hapo hajashika chuma..!! 😹😹

Na wewe kwann unajambia watoto lakini? 😥😹😹
Mwanaume amengea tu kidogo nasikia yule mwenzenu karudi Dar tayari mapigo ya moyo yapo kasi.

Sasa mimi mie ningefanyeje mkuu nimefikia kusoma comment tu nikajikuta nimecheka sana so watoto wanisamehe uzuri walikuwa wamemaliza kula nimesingizia mama yao na nilikuwa nimekaa karibu na wife
 
Wewe hujawahi kujitambua kabisa, huna tofauti na msukule. Capt. Tesha ameishafikisha ujumbe, huyo msemaji wa JWTZ ni kama anapiga konzi kinyago!
 
Nime notice mambo yafuatayo

Jeshi halijakanusha maoni na hoja za captain Tesha.

Hotuba ni fupi na haina content hio Inaonyesha wamelazimishwa kutoa kauli ya kukanusha madai ya Captain Tesha ila wanaunga mkono.

Amesema wataendelea kutii kanuni na katiba ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania, maana ake kama katiba itakikukwa hawatakubaliana nalo.
 

Attachments

  • 896c953045594a798cb30ce8958b900b.mp4
    468.5 KB
Huyu msemaji ni kama amelazimishwa kutoa neno haonekani kukerwa au kusikitishwa na kitendo cha Captain Tesha.

Kimkakati kabisa ameongea kwa mafumbo hajamtaja mtu yoyote kwa jina. Nafikiri huyu na wengi jeshini wapo na Tesha. Wamechoka dharau za Rostam, Abdul, Samia na Kikwete.
 
Wifi kakupikia mandondo mpk umeuachia 😹😹

Mnanitesea auntie zangu na mishuzi yenu 😹😹 Ntawashtaki kwa TESHA mnatesa makapteni wa baadae
 
Kama nakuona hivi namna ulivyo jiharishia na kujikojolea hovyo kwenye sarawili yako kutokana tu na hofu kubwa iliyokujaa baada ya tamkp la Captain Tesha. Kila ukiwaza utamlamba nani miguu baada ya mabosi wako kuondolewa madarakani, hata hupati jibu.
 
Umeshasajili VPN yako wewe kunguni?
 
Mungu ni msikivu kwa vilio na machozi ya waja wake wanao onewa.Amerejesha majibu mapema kuliko wengi waombavyo walivyotarajia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…