Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) latoa ufafanuzi kuhusu yanayoendelea mtandaoni

Hatutaki kusikiliza maelezo zaidi ya aliyoyatoa Capten Tesha
 
Yaani Gen Z washindwe wenyewe hiyo tarehe 29.
Kujitokeza kwa Captain Tesha ni ushahidi tosha jeshi liko upande wao, huku ccm wakiwategemea policcm! Maana yake kikinuka tu siku hiyo, jeshi litatuliza hali na hivyo kuliponya Taifa.
 
Hata sikua nimemuangalia vizuri kumbe ndie huyu!
 
Kama unamwamini huyo Tesha andamana tarh 29. Ukalegezwe joint
Hapa tunajadili kilichopo hapo mkuu. Kuhusu maandano wa subiri tarehe 29 na subiri Tesha arudi mala ya pili. Kuhusu mie achana na serikali ya kichwa yangu
 
Write your reply...rip tesha umeacha simanzi kwa familia yako
UVCCM nyie huwa mnawazag kuua tu yeyote asiyependezwa na mwenendo wa serikali yenu mbovu inayonuka ufisadi wa kila aina.

Mnafikiri mdude yule eti eeh?

Haya mtumieni wasiojulikana wakamteke basi kisha wamuue na kumfunga kwenye viroba.. muone kitakachowatokea.

Wajinga kweli nyie, yaan akili zenu zinanuka damu za watu tu halafu mnasema nchi ina amani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…