Jeshi la wananchi laonywa lisivunje katiba ya nchi kwa kufanya majukumu yasiyo yake kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi

Military Police, Martial court si kwa ajili ya raia.
Vyote hivyo vimeundwa huko huko jeshini kushughulikia maswala ya kijeshi.
Mnyororo wa utoaji haki kwa jamii hakuna pahala jeshi linaingia kwenye mnyororo huo. Wahusika wa mashtaka hapo utakuta ni polisi au takukuru lakini mwisho yataishia mahakama za kiraia kutoa haki.
Uwe na amani, hakuna sheria inayoizidi katiba KIMAMLAKA
 
[emoji106][emoji2956]
 
MARTIAL COURTS si muhimili wa dola....

Military courts inahusika na mambo ya jeshi tu....

Mwambukusi anaongelea sheria ambayo mhimili wake wa kuitafsiri uko MAHAKAMANI....

JWTZ waheshimu katiba ya nchi.....ninashangaa wana wanasheria wao...hawawasikilizi ?!!! [emoji15][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kazi ya jeshi ni kufanya oparesheni kubwa za kivita sio kusaka majambazi nimeona pia kama hapa kwa Matias kibaha wanajeshi wanaongoza magari kama traffic wakiwq na kombati
 
Watanzania uzuzu wetu umeanzia kuonekana hapa hapa kwenye huu uzi. Yaani kabisa kuna watu wanamdhihaki na kumwona Mwambukusi kama amekosea. Watu kama hao unatarajia kuna siku watakomboka na kuwa huru kifikra???
Hayo majitu ya hivyo ndio yanatuchelewesha mkuu, akili zao ziko matumboni. yakishashiba hela za kifisadi yanelewa kabisa!

yanafanya hizi nchi zinakuwa shithole!!!!


JESUS IS LORD&SAVIOR
 
Watu wakikosa KAZI za kufanya ndio matokeo yake. Huwez acha shughuli zako ukaanza kupitapita mitaani kutafuta nguo za kijeshi.

Pia watu hawajui sheria ndio maana kuna huu ujinga ujinga.

Mie ninabegi la kijeshi kbs na kofia navaa muda wote na nikisafiri nabeba hilo begi. Nasubiri waje
 
Kazi ya jeshi ni kufanya oparesheni kubwa za kivita sio kusaka majambazi nimeona pia kama hapa kwa Matias kibaha wanajeshi wanaongoza magari kama traffic wakiwq na kombati
[emoji1787][emoji1787]
 
Ukiwa na Akili na ukawa ni Msema kweli popote pale utakuwa ni target [emoji457]

Ukweli huwa Unauma !!
[emoji1787][emoji1787]
Ila mwenye akili na msema kweli huwa hasemi KWELI popote tu...chukua hii

#Karibu wanzuki hapa ubandani kwa mama Lily Sondombwa[emoji120]
 
Una hoja,utafika mbali,,,hii ndyo inaitwa kuwaza kwa sauti,hongera kwa kutumia vema ubongo wako,
 
Watanzania uzuzu wetu umeanzia kuonekana hapa hapa kwenye huu uzi. Yaani kabisa kuna watu wanamdhihaki na kumwona Mwambukusi kama amekosea. Watu kama hao unatarajia kuna siku watakomboka na kuwa huru kifikra???
Kabisaa aisee
 
Huyu hajui kama jeshi pia wana Polisi wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…