Jeshi la wananchi laonywa lisivunje katiba ya nchi kwa kufanya majukumu yasiyo yake kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi

Jeshi la wananchi laonywa lisivunje katiba ya nchi kwa kufanya majukumu yasiyo yake kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi

Kwa mara ya kwanza naunga mkono Mwabukusu.Hii tabia ya Baadhi ya taarifa kujifanya ziko Juu ya sheria ikome mara Moja.

Kila taasisi itekeleze wajibu wake kwa.mujibu wa sheria ,hakuna raia aloye Juu ya mwingine Kwa kisingizio Cha mwanajeshi sijui Tiss na blaa blaa kama hizo.
Leo akili zimekurudia kwa mara ya kwanza, kweli hata saa mbovu kuna muda huwa inakuwa sahihi.
 
Huyo mpuuzi jeshi halifanyi ujinga ukiona hivyo ujue kuna tishio kubwa sana la usalama, na toka matukio ya kibiti Police haiaminiki tena kwenye mambo nyeti, undercover police wasaliti walikuwa wengi sana
Jeshi lingekuwa liko makini kwa upuuzi unaofanywa na CCM miaka nenda rudi lingekuwa limeshachukua nchi na kuhakikisha kwamba kiongozi aliyepo madarakani ana serve interests za raia na sio uhuni wa kuuza rasilimali za taifa. Intelijensia yao ilitakiwa iegamie huko.
 
Watanzania tuache kuchekea ujinga. Jwshi linapaswa kufanya mambo serious na sio kuanza kusumbua raia. Jeshi linapaswa kuwa sehemu ya raia kukimbilia pale ambapo vyombo vingine vyote vimeshindwa
Nchi inaibwa lenyewe lipo tu. Yaaani tunajeshi linalolinda sare zake kuliko dhahabu ya Nchi
 
Huyo mpuuzi jeshi halifanyi ujinga ukiona hivyo ujue kuna tishio kubwa sana la usalama, na toka matukio ya kibiti Police haiaminiki tena kwenye mambo nyeti, undercover police wasaliti walikuwa wengi sana
Jeshi lingekuwa liko makini kwa upuuzi unaofanywa na CCM miaka nenda rudi lingekuwa limeshachukua nchi na kuhakikisha kwamba kiongozi aliyepo madarakani ana serve interests za raia na sio uhuni wa kuuza rasilimali za taifa. Intelijensia yao ilitakiwa iegamie huko.
 
Kuna kitu naanza kuhisi

Ukifikiri kwa makini lile tamko la JWTZ kuhusu sare za jeshi naliona kama lina mlengo mwingine tofauti na ambavyo limewasilishwa.

Kwanini kusalimisha sare kuambatane na msako wa nyumba kwa nyumba kukagua watu ambao hawajakabidhi sare?

Vipi kama hao wanajeshi wana agenda yao nyingine?

Kupitia sakata la bandari na jinsi upinzani walivyo chachamaa kutoa elimu kwa wananchi kuhusiana na ubovu wa mkataba.

Huku wakihamasisha wananchi waukatae pamoja na kuongeza nguvu ya kudai katiba mpya, na mwitikio wa wananchi umekuwa mkubwa.

Vipi kama ujio wa wanajeshi mtaani hauna lengo la kukusanya sare bali kuwatisha raia ambao hivi karibuni wamekuwa wakihamasishwa kufanya maandamano ya kupinga mkataba?
Na vipi kama jeshi nalo linataka kutumia njia hiyo kuleta mapinduzi?
Muosha huoshwa, acheni hii serikali iendelee kufanya michezo hii ya kitoto mwisho sio mzuri.
Swali la wakili ni zuri sana, jee jeshini kuna wizi wa nguo umetokea? Kama umetokea si utaratibu ni kuripoti polisi wachunguze na kuwashtaki wezi?
 
Nyie nyieeee! Hawa wananzengo sio wakucheza nao.
Aina ya raia kama wewe ndo maana watawala hufanya watakavyo kwasababu wanaamini Watanzania wote wapo kama wewe.

Hao unaowaogopa wapo juu ya sheria ipi ya nchi? Hata mwanajeshi akikufanyia tu vurugu karipoti polisi fungua kesi uone kama hajapandishwa kizimbani kujibu mashitaka.
 
Mnaleta utani kwenye ulinzi wa Taifa, acheni upumbavu tutawafuata majumbani uniform za jeshi ni haramu kutumiwa na raia
Sio jukumu lao bali kazi ya polisi.

Tatizo unaamini matumizi ya nguvu kulkko akili kwasababu ya ufinyu wa elimu.

Sasa mtu anaajiriwa jeshini kwa kupata div four kidato cha nne utdgemee matumizi ya akili kweli?
 
Ulicholeta hapa ni uzuzu. Kumiliki sare za jeshi ni kosa hakuna anayepinga. Lakini mamlaka yenye wajibu wa kukamata na kufikisha mahakamani hawa wahalifu ni jeshi la polisi. Military police hawapaswi na hawaruhusiwi kisheria kushughulika na raia katika hali ya kawaida. Kukiwa na hali ya hatari wanajeshi wanaweza kuitwa kusaidiana na polisi kudumisha/kurejesha amani na usalama. Anachokumbusha Mwabukusi ni kila mamlaka itekeleze wajibu wake kwa kufuata sheria. Vinginevyo hakungekuwa na haja ya kuwa na sheria. Ni aibu kwa "jeshi la sita" kwa ubora kuanza kuhangaika na vibaka walioiba sare za jeshi, au raia wema wasio na ufahamu, waliovaa mitumba inayofanana na sare za majeshi yetu.

Iwe bunduki au silaha yoyote ya jeshi, wanaopaswa kukufuatilia ni jeshi la polisi, labda kama hawana ujuzi na hiyo silaha ndipo jeshi (JWTZ) litahusishwa
Unaona umeandika hoja za maana kumbe ni matapishi matupu.
Kwa akili yako ndogo, jeshi linaingia mtaani kusaka sare za jeshi (nguo zinazofanana na sare zao) kwa raia ambaye hana hata bunduki? Unajua maana ya jeshi na heshima yake lakini? 😀😀😀😀😀😀😂😂
Kama hawana kazi, waende Sudan pale kuna vita wakafanye majaribio. Wakapambane na Al shabab
Wewe utakuwa mojawapo ya wanajeshi waliovunja tofali kwa kichwa halafu unajiona una akili sana
Humo jeshini kuna darasa la 7 na form 4 failures wengi sana hata ulichoandika sikushangai ni upumbavu mtupu.
Watanzania wengi hawajui sheria ndiyo maana hata ukivaa sare za polisi na siyo polisi unaweza kumkamata yoyote hata wewe nikakufanya chochote hata kukupiga mashine.
Hizo sare za jeshi ni uvunjifu wa sheria, unatakiwa ukamatwe na polisi, upelekwe mahakamani na uhukumiwe kwa mujibu wa sheria za nchi km utafungwa au ulipe faini.
Jeshi la wananchi halina mahamakama, watakupeleka wapi? wakikukamata ni uvunjifu wa sheria wamefanya.
Jeshi la wananchi linaingia mtaani kama kutakuwa na matukio makubwa ambayo yatasababisha kutokea kwa uvunjifu wa amani (vita)
 
Sio jukumu lao bali kazi ya polisi.

Tatizo unaamini matumizi ya nguvu kulkko akili kwasababu ya ufinyu wa elimu.

Sasa mtu anaajiriwa jeshini kwa kupata div four kidato cha nne utdgemee matumizi ya akili kweli?
Watu wengi hawajui sheria ndiyo maana ukivaa nguo za polisi na siyo polisi unaweza kumfanyia chochote mtu na asikuulize.
Mfano.
Ukivaa sare za trafiki, ukasimama barabarani, unaweza kukusanya hela sana. Gari ikipita, piga mkono, kila gari lazima itoe 10,000.
 
Namheshimu sana Mwabukusi na ninamuunga mkono katika baadhi ya mambo kama DPW. Au kupinga badndari zetu kugawiwa bure kwa DPW.
Ila ktk ili nadhani hatofautishe utendaji wa kazi za jeshi na polisi. Pia hatofautishe sheria zetu jinai na taratibu za kijeshi.

Ajiulize, kwanini jeshi lina mahakama yake ya kijeshi. Kwanini mwanajeshi akivunja sheria lazima kwanza taratibu zao za kijeshi zifuate avuliwe uanajeshi ndipo taratibu za kawaida za kijinai zifuatwe.

Anatakiwa ajue taratibu za kijeshi na intelligency za kijeshi. Jeshi halikurupuki kufanya jambo. Si mara ya kwanza jeshi kufanya zoezi kama hili. Nakumbuka miaka ya nyuma mkoa fulani zoezi ili lilifanyika na lilisaidia kuzuia uharifu. Yaani ukichekea watu hati sheria za kijinai unaweza shangaa unajeshi lisilo rasmi nchini. Au watu tayari wanamiliki silaha.

Na zoezi ili ufanywa na Military police. Wanajua taratibu tuache wafanye kazi.
mjinga sana wewe, hivi kwenye nchi zinazo fuata utawala wa sheria huwezi kuta huu ujinga, ndioa maana hawa jamaa wanapanda bure mabasi na wakishuka ndio mnaanza kulalamika
 
Back
Top Bottom