mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
mkuu matusi ya nguoni hayaruhusiwi humu.😅😅😅Jeshi kuwekeza kwenye Research za HIV, COVID, Nuclear, Balistic Missiles, Ndege Jeshi, Submarines, wao wana hangaika na mitumba za Marehemu Wa Kizungu. Kiwanda chao cha Nyumbu kimeshindwa hata kuzalisha Bajaji za Abiria.