SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Wewe ni mpumbavu na kadri siku zinavyokwenda ndiyo unazidi kuwehukaMwambulukusi awapeleke mahakamani na hao na aanze kuwaongea hovyo. Si shujaa yeye.
Hakuna tatizo lolote kufanya hivyo katika nchi inayojitambulisha ni ya kidemokrasia.Huyu jamaa naona sasa anazitafuta kura za ubunge 2025 kwa nguvu.
Idiot, huyo ametafsiri sheria we unasema anatafuta umaarufu. Hivi ndugu watanzania wenzangu upumbavu utawaisha lini huo.Anatafuta umaarufu kwa nguvu
Leo akili zimekurudia kwa mara ya kwanza, kweli hata saa mbovu kuna muda huwa inakuwa sahihi.Kwa mara ya kwanza naunga mkono Mwabukusu.Hii tabia ya Baadhi ya taarifa kujifanya ziko Juu ya sheria ikome mara Moja.
Kila taasisi itekeleze wajibu wake kwa.mujibu wa sheria ,hakuna raia aloye Juu ya mwingine Kwa kisingizio Cha mwanajeshi sijui Tiss na blaa blaa kama hizo.
Jeshi lingekuwa liko makini kwa upuuzi unaofanywa na CCM miaka nenda rudi lingekuwa limeshachukua nchi na kuhakikisha kwamba kiongozi aliyepo madarakani ana serve interests za raia na sio uhuni wa kuuza rasilimali za taifa. Intelijensia yao ilitakiwa iegamie huko.Huyo mpuuzi jeshi halifanyi ujinga ukiona hivyo ujue kuna tishio kubwa sana la usalama, na toka matukio ya kibiti Police haiaminiki tena kwenye mambo nyeti, undercover police wasaliti walikuwa wengi sana
Nchi inaibwa lenyewe lipo tu. Yaaani tunajeshi linalolinda sare zake kuliko dhahabu ya NchiWatanzania tuache kuchekea ujinga. Jwshi linapaswa kufanya mambo serious na sio kuanza kusumbua raia. Jeshi linapaswa kuwa sehemu ya raia kukimbilia pale ambapo vyombo vingine vyote vimeshindwa
Jeshi lingekuwa liko makini kwa upuuzi unaofanywa na CCM miaka nenda rudi lingekuwa limeshachukua nchi na kuhakikisha kwamba kiongozi aliyepo madarakani ana serve interests za raia na sio uhuni wa kuuza rasilimali za taifa. Intelijensia yao ilitakiwa iegamie huko.Huyo mpuuzi jeshi halifanyi ujinga ukiona hivyo ujue kuna tishio kubwa sana la usalama, na toka matukio ya kibiti Police haiaminiki tena kwenye mambo nyeti, undercover police wasaliti walikuwa wengi sana
Nenda kacheze singeli pale maeneo ya lugalo barabarani karibu na geti usubiri polisi waitweππMilitary police wa JWTZ ni kwa ajili ya raia?
Acha upuuzi wewe! Huoni mantiki ya hiyo hoja? Hivi nchi hii mtajitambua lini?Anachokitafuta atakipata[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na vipi kama jeshi nalo linataka kutumia njia hiyo kuleta mapinduzi?Kuna kitu naanza kuhisi
Ukifikiri kwa makini lile tamko la JWTZ kuhusu sare za jeshi naliona kama lina mlengo mwingine tofauti na ambavyo limewasilishwa.
Kwanini kusalimisha sare kuambatane na msako wa nyumba kwa nyumba kukagua watu ambao hawajakabidhi sare?
Vipi kama hao wanajeshi wana agenda yao nyingine?
Kupitia sakata la bandari na jinsi upinzani walivyo chachamaa kutoa elimu kwa wananchi kuhusiana na ubovu wa mkataba.
Huku wakihamasisha wananchi waukatae pamoja na kuongeza nguvu ya kudai katiba mpya, na mwitikio wa wananchi umekuwa mkubwa.
Vipi kama ujio wa wanajeshi mtaani hauna lengo la kukusanya sare bali kuwatisha raia ambao hivi karibuni wamekuwa wakihamasishwa kufanya maandamano ya kupinga mkataba?
Mwenzako kazungumza kisheria wewe unazungumzia kishabiki.Hujielew
Aina ya raia kama wewe ndo maana watawala hufanya watakavyo kwasababu wanaamini Watanzania wote wapo kama wewe.Nyie nyieeee! Hawa wananzengo sio wakucheza nao.
Sio jukumu lao bali kazi ya polisi.Mnaleta utani kwenye ulinzi wa Taifa, acheni upumbavu tutawafuata majumbani uniform za jeshi ni haramu kutumiwa na raia
Unaona umeandika hoja za maana kumbe ni matapishi matupu.Ulicholeta hapa ni uzuzu. Kumiliki sare za jeshi ni kosa hakuna anayepinga. Lakini mamlaka yenye wajibu wa kukamata na kufikisha mahakamani hawa wahalifu ni jeshi la polisi. Military police hawapaswi na hawaruhusiwi kisheria kushughulika na raia katika hali ya kawaida. Kukiwa na hali ya hatari wanajeshi wanaweza kuitwa kusaidiana na polisi kudumisha/kurejesha amani na usalama. Anachokumbusha Mwabukusi ni kila mamlaka itekeleze wajibu wake kwa kufuata sheria. Vinginevyo hakungekuwa na haja ya kuwa na sheria. Ni aibu kwa "jeshi la sita" kwa ubora kuanza kuhangaika na vibaka walioiba sare za jeshi, au raia wema wasio na ufahamu, waliovaa mitumba inayofanana na sare za majeshi yetu.
Iwe bunduki au silaha yoyote ya jeshi, wanaopaswa kukufuatilia ni jeshi la polisi, labda kama hawana ujuzi na hiyo silaha ndipo jeshi (JWTZ) litahusishwa
Watu wengi hawajui sheria ndiyo maana ukivaa nguo za polisi na siyo polisi unaweza kumfanyia chochote mtu na asikuulize.Sio jukumu lao bali kazi ya polisi.
Tatizo unaamini matumizi ya nguvu kulkko akili kwasababu ya ufinyu wa elimu.
Sasa mtu anaajiriwa jeshini kwa kupata div four kidato cha nne utdgemee matumizi ya akili kweli?
zezeta kama zezetaBraza kahamia jeshini sasa...........kajipanga eeehh
nchi imejaaa waoga sana, kama wewe eti ni mwanaume,Anachokitafuta atakipata[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mazezeta wa nchi,Nyie nyieeee! Hawa wananzengo sio wakucheza nao.
wewe na ukoo wako hakuna siku mtajikomboaAnatafuta umaarufu kwa nguvu
mjinga sana wewe, hivi kwenye nchi zinazo fuata utawala wa sheria huwezi kuta huu ujinga, ndioa maana hawa jamaa wanapanda bure mabasi na wakishuka ndio mnaanza kulalamikaNamheshimu sana Mwabukusi na ninamuunga mkono katika baadhi ya mambo kama DPW. Au kupinga badndari zetu kugawiwa bure kwa DPW.
Ila ktk ili nadhani hatofautishe utendaji wa kazi za jeshi na polisi. Pia hatofautishe sheria zetu jinai na taratibu za kijeshi.
Ajiulize, kwanini jeshi lina mahakama yake ya kijeshi. Kwanini mwanajeshi akivunja sheria lazima kwanza taratibu zao za kijeshi zifuate avuliwe uanajeshi ndipo taratibu za kawaida za kijinai zifuatwe.
Anatakiwa ajue taratibu za kijeshi na intelligency za kijeshi. Jeshi halikurupuki kufanya jambo. Si mara ya kwanza jeshi kufanya zoezi kama hili. Nakumbuka miaka ya nyuma mkoa fulani zoezi ili lilifanyika na lilisaidia kuzuia uharifu. Yaani ukichekea watu hati sheria za kijinai unaweza shangaa unajeshi lisilo rasmi nchini. Au watu tayari wanamiliki silaha.
Na zoezi ili ufanywa na Military police. Wanajua taratibu tuache wafanye kazi.