Jeshi la wananchi laonywa lisivunje katiba ya nchi kwa kufanya majukumu yasiyo yake kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi

Jeshi kuwekeza kwenye Research za HIV, COVID, Nuclear, Balistic Missiles, Ndege Jeshi, Submarines, wao wana hangaika na mitumba za Marehemu Wa Kizungu. Kiwanda chao cha Nyumbu kimeshindwa hata kuzalisha Bajaji za Abiria.
mkuu matusi ya nguoni hayaruhusiwi humu.πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Huyo mpuuzi jeshi halifanyi ujinga ukiona hivyo ujue kuna tishio kubwa sana la usalama, na toka matukio ya kibiti Police haiaminiki tena kwenye mambo nyeti, undercover police wasaliti walikuwa wengi sana
we mjinga sana
 
Watanzania uzuzu wetu umeanzia kuonekana hapa hapa kwenye huu uzi. Yaani kabisa kuna watu wanamdhihaki na kumwona Mwambukusi kama amekosea. Watu kama hao unatarajia kuna siku watakomboka na kuwa huru kifikra???
Watu wajinga Sana hata Mimi nimeshangaa Sana najiuliza asipojitolea mtu kusema Hali sijui itakuwaje .... Daah kazi ipo kweli
 
Yupo sawa
 
Aisee, acha ondoa kabisa mawazo haya kichwani mwako...

Raia mpaka hatua hii hatuogopi cha polisi wala jeshi la wananchi (JWTZ)
 
Afrika wajinga wengi sana. Huyo atakuumiza akili.
Kusaka sare za jeshi, ni kazi ya polisi na siyo jeshi.
Ukiwa na bunduki kwanini wanakufuata polisi na siyo jeshi la wananchi?
Jwtz imekosa kazi.
Kweli kabisa. Unakumbuka kesi ya ugaidi ya mbowe na walinzi wake. Je uniform na silaha zilitolewa ushahidi na aliyezikamata ni jeshi au polisi. Sheria Zina mipaka yake
 
Watanzania kweli tuna safari ndefu. Ukisoma hoja za watu humu, unashangaa kuwa bado Kuna ujinga wa kiwango hiki!!
Mwabukusi yuko sahihi 100%. Hata mimi nilishangaa sana nilipomsikia yule msemaji wa jeshi na vitisho vyake.
Hivi huko Kenya wanakosumbuliwa na alshabab kila mara, huwa wamevaa sare za jeshi la Kenya?
Na kama ni kosa kwa nini wasitumike polisi? Kwanza ni aibu sana eti mwanajeshi anapekua nyumba ya mtu kwa kisingizio eti cha kutafuta sare za jeshi.
Ni uonevu mkubwa kwa raia waliokosa mtetezi.
Jeshi la ulinzi lina mipaka yake, na raia wamekuwa wakiliheshimu sana jeshi lao. Sasa wanajivunjia heshima kirahisi kama hivyo kusumbua raia!!
Na wananchi kwa sababu ya kujaa woga wa kijinga wanamshambulia Mwabukusi!!!
Jeshi linayo mambo ya msingi ya kufanya, kama ugunduzi, na ubunifu wa zana za kijeshi na siyo kuhangaika na vitu vidogo vinavyoshusha heshima ya jeshi.
Mbona hata wao wakitenda jinai wanakamatwa na polisi?
Nchi iendeshwe kwa utaratibu na kufuata sheria.
 
Eti jeshi kazi yake kusaka sare teh teh teh hili litakuwa Jeshi la zama za mawe za kale.

Wanaacha mambo ya msingi kama vile research and development linakwenda kusaka sare. Ndiyo maana lilikuwa likitoa show za kuvunja tofali kwa vichwa badala ya kuonyesha limegundua au kutengeneza silaha gani
 
Kweli kabisa. Unakumbuka kesi ya ugaidi ya mbowe na walinzi wake. Je uniform na silaha zilitolewa ushahidi na aliyezikamata ni jeshi au polisi. Sheria Zina mipaka yake
Jeshi la wananchi lina majukumu makubwa sana ya kulinda amani yaani litaaingia mtaani km kutakuwa na viashiria vya kuleta vita.
Polisi kazi yake kuhakikisha sheria inafuatwa ndiyo maana ina mahakama na magereza.
Jeshi linaingia mtaani kusaka sare za jeshi kwa raia ambaye hana bunduki?
Hiyo ni kazi ya polisi.
 
H vs A kwenye ubora wake
 


Alichosema ni ukweli, na naheshimu watu wa kweli na walionyoka, Je atapata mazara? Pengine atapata, Ila misingi, uhuru na Amani tuliyonayo sasa ililipwa na watu kama Mwabukusi miaka ya nyuma, ni Mpumbavu tu atakaye acha kupongeza hatu za Mwabukusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…