Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ) kutoa Tamko Maalumu 30 Novemba, 2021

Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ) kutoa Tamko Maalumu 30 Novemba, 2021

tamko la kupindua huwa linatolewa ghafla tu hakunaga maandalizi Mkuu, hapo watazungumzia ile issue ya boda boda wa barua iliyopelekwa huko kama ni kweli hiyo issue ipo
Du !!! Sijui chochote mkuu!!! Jazia finyango kidogo
 
Bora hata wangetoa tamko rasmi la polisi kutesa wanajeshi JWTZ iwe mwiko, tofaut na hapo kitaumana!!

Ila utasikia usafi, usafi, usafi
 
Watatao tamko la kuto tupa taka taka havyo
 
Hawa jamaa watakuja na bla blah nyepesi tu, hawanaga jipya. Watanzania wengi wanatamani kusikia hawa jamaa wakitangaza kupindua meza, lakini sioni hizo dalili..
Usiseme watanzania,sema kikundi Cha magaidi ya chadema
 
IMG-20211129-WA0012.jpg
 
Back
Top Bottom