peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
CDF Sema neno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Du !!! Sijui chochote mkuu!!! Jazia finyango kidogotamko la kupindua huwa linatolewa ghafla tu hakunaga maandalizi Mkuu, hapo watazungumzia ile issue ya boda boda wa barua iliyopelekwa huko kama ni kweli hiyo issue ipo
Fununu ili ukimbie[emoji16][emoji16][emoji23]Wenye fununu wafunguke.
Usiseme watanzania,sema kikundi Cha magaidi ya chademaHawa jamaa watakuja na bla blah nyepesi tu, hawanaga jipya. Watanzania wengi wanatamani kusikia hawa jamaa wakitangaza kupindua meza, lakini sioni hizo dalili..
Kweli Jeshi huwa halifanyi press mara nyingi. Sijui kuna nini. Ngoja tusubiri tuone.
Kuna sehemu aliyepita alikosea napo nikuwahusisha kwenye serikali katika nyadhifa za kisiasaHawa Jamaa mbona wa azidi sana siku hizi... Inatia wasiwasi.