Wanawaza zichakae ndani ya mwezi zinunuliwe tena..bei rahisi ila zinachakaa mapema so wanapata faida watu wananunua mara kwa mara...mbongo kit ya laki moja au laki mbili anaanzaje kununua 😆Hivi kwa nini sisi tunashindwa kutengeneza jezi material kali kama hizi
Haier aliingiza kichwa tu, sasa wamezamisha chote
Video na uhalisia wa jezi tofauti, afu ni kama wameshtukizwa kuzitoa
10/10Wolfsburg away kitView attachment 2635408
YahVideo na uhalisia wa jezi tofauti, afu ni kama wameshtukizwa kuzitoa
Hii rangi gani?
[emoji91][emoji91][emoji91]
Hii hapa sasa ingekua rangi nyeupee, wee ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]