Huenda watakuwa wanaziachia wenyewe kwa makusudi, kwa hiyo mnajikuta mnazipromoti wenyewe bila kujua kwamba mnazipromoti, mpaka wale wa upande wa pili nao wanazipromoti bila kujua wanazipromoti.makachero wangu wanendelea kunitumia picha za jezi za simba inasemekana kuna design 6 tofauti zikiwemo za mazoezi na misafara..nyingine mshaona zimevujishwa tayari nawaongezea na hizi nimeambiwa baada ya dakika kumi natumiwa nyingine tena
View attachment 1920258View attachment 1920260
Ww ndio unapata mhaho.si utulie 04/09 ni kesho kutwa tuKolo wanajitekenya wenyewe na kujichekesha wenyewe
Uliangalia video ya fundi wa tandika akitengeneza suti za utopolo,we uliamini ni kweli,kwani ku design jezi kwenye pc n a kuprint ni ngumu sana auMkuu umeaangalia video ? Mi picha nilidhani editing ila nilipoangalia video dah kwanini lakini wavujishe?
Uzi.ni.mkali.saana ukiwa huo.mbona poa saana sio.kubeba misukule mixer vibwengo kama wote hadi mchezaji anakosa nguvuNawaunga mkono utoopolo na propaganda yao ,kuna ubaya kwani au ni edit niweke vunja bei
kama hauna wadhamini, utaweka tangazo gani?Makolo FC kama kawaida jezi Matangazo kama YOTE.
zinaendelea kuvuja jamani sambazeni watanzania waoooneeeee
View attachment 1920263View attachment 1920264
Katika hao walioshindanoshwa kuwania dhabuni ya kutengeneza jezi Uhlsport walikiwa ni miongoniVunja bei alichukua contract ya kuwavalisha jezi simba. Yeye atakua kaingia mkataba na Uhl sports.
Msukule unateseka ukiwa wapiUnafeli sana wee utopolo!
Jezi mpya za simba hazina huyo uhl, washamalizana na simba!
Sasa mmeshindwa hata kuedit vizuri ulivyo punguani,,..
Usiingie kwenye mtego wa utopolo, wadhamini wengi ndio hela zenyewe!kwa hiyo wametuongezea maandishi mengine?? anyway wazindue nikachukue hiyo ya blue
Jezi zina nembo ya vunjabeiKatika hao walioshindanoshwa kuwania dhabuni ya kutengeneza jezi Uhlsport walikiwa ni miongoni
Vunja bei anatengeneza jezi za Simba kutokea China wakati Uhlsport ni Waitaliano
Jezi za Simba msimu huu hazitakuwa na nembo ya Uhlsport niamini mkuu
Ingia kwenye page ya Simba FB utaiona hiyo nembo ya Vunja beiJezi zina nembo ya vunjabei
Unajua ulichoandika lakini?
Katafte movie inaitwa Train to BusanVibwengo f.cView attachment 1920145
Kwani jezi mkiwa nazo nzuri nyie alafu Makombe tunachukua Sisi kuna shida gani?!!..Yani wewe unaona Bora Nguo kuliko uhai (Kazi)...hebu fikiria vizuri hivi ungekua unatumia jina lako huko watu wangeshangaa kituko gani hiki!!!..Haya jezi mbaya tukusaidie nini?!!.. Nilidhani unaongelea vikosi kumbe Nguo?!!..Ajabu hili lipo kwenye family yako tu!!!Jezi hamna pale,kolo watajilazimisha tu kununua huku moyoni wakijua wamepigwa
Yani umetoka kushindanisha vikosi Hadi Nguo!!!??..Sasa hizo Nguo zenu ndio zinacheza Mpira?!!..watu wa Yanga kweli mnavituko!!!..Nyie makokolo mkiambiwa sisi tuna watu mnakataa,hii ndio taka taka yenu,jezi hazina hata mvuto,kolo.mnatia huruma hizi ndio jezi za kuzishindanisha na za Yanga
View attachment 1920130
View attachment 1920131