shungurui
JF-Expert Member
- Sep 1, 2008
- 3,765
- 5,160
Huenda watakuwa wanaziachia wenyewe kwa makusudi, kwa hiyo mnajikuta mnazipromoti wenyewe bila kujua kwamba mnazipromoti, mpaka wale wa upande wa pili nao wanazipromoti bila kujua wanazipromoti.makachero wangu wanendelea kunitumia picha za jezi za simba inasemekana kuna design 6 tofauti zikiwemo za mazoezi na misafara..nyingine mshaona zimevujishwa tayari nawaongezea na hizi nimeambiwa baada ya dakika kumi natumiwa nyingine tena
View attachment 1920258View attachment 1920260