Jezi mpya za Simba kwa msimu wa 2021/22 zavuja

Jezi mpya za Simba kwa msimu wa 2021/22 zavuja

makachero wangu wanendelea kunitumia picha za jezi za simba inasemekana kuna design 6 tofauti zikiwemo za mazoezi na misafara..nyingine mshaona zimevujishwa tayari nawaongezea na hizi nimeambiwa baada ya dakika kumi natumiwa nyingine tena

View attachment 1920258View attachment 1920260
Huenda watakuwa wanaziachia wenyewe kwa makusudi, kwa hiyo mnajikuta mnazipromoti wenyewe bila kujua kwamba mnazipromoti, mpaka wale wa upande wa pili nao wanazipromoti bila kujua wanazipromoti.
 
Mkuu umeaangalia video ? Mi picha nilidhani editing ila nilipoangalia video dah kwanini lakini wavujishe?
Uliangalia video ya fundi wa tandika akitengeneza suti za utopolo,we uliamini ni kweli,kwani ku design jezi kwenye pc n a kuprint ni ngumu sana au
 
Nawaunga mkono utoopolo na propaganda yao ,kuna ubaya kwani au ni edit niweke vunja bei
Uzi.ni.mkali.saana ukiwa huo.mbona poa saana sio.kubeba misukule mixer vibwengo kama wote hadi mchezaji anakosa nguvu
 
Vunja bei alichukua contract ya kuwavalisha jezi simba. Yeye atakua kaingia mkataba na Uhl sports.
Katika hao walioshindanoshwa kuwania dhabuni ya kutengeneza jezi Uhlsport walikiwa ni miongoni

Vunja bei anatengeneza jezi za Simba kutokea China wakati Uhlsport ni Waitaliano

Jezi za Simba msimu huu hazitakuwa na nembo ya Uhlsport niamini mkuu
 
Katika hao walioshindanoshwa kuwania dhabuni ya kutengeneza jezi Uhlsport walikiwa ni miongoni

Vunja bei anatengeneza jezi za Simba kutokea China wakati Uhlsport ni Waitaliano

Jezi za Simba msimu huu hazitakuwa na nembo ya Uhlsport niamini mkuu
Jezi zina nembo ya vunjabei
 
Angalau hizi kidogo kuliko zilizopita.
 
Jezi zina nembo ya vunjabei
Ingia kwenye page ya Simba FB utaiona hiyo nembo ya Vunja bei

Kwani Yanga unaonaga nembo ya nani kwenye jezi zao zaidi ya ile ramani ya Afrika yenye nembo ya GSM kuna kampuni huru China na Marekani zinatengeneza jezi bila masharti ya kuweka nembo zao

Hii si ipo hata kwenye vifaa vingine mfano Chadema waliwekaga oda ya pikipiki China zakaja zina chapa ya M4C kabisa hata GSM nao waliletaga pikipiki vile vile mkuu
 
Mbona yanga, utopolo ,nyani ,vyura wanashabikia sana jezi?
Msimu huu wanashabikia manara na jezi.
Ndio maana wameshona hata jezi za madela.
Akili ya kupenda mavazi kwenye jamii ni akili ya mwanamke. Inamaana uto wote ni wanawake? Au asilimia kubwa ya uto ni wanawake?

Utopolo leteni majibu.
 
Mie ni Shabiki wa Yanga ila hizo jezi sio mbaya kama mleta mada unavyodai. Jezi ina quality nzuri tu, imara kama tu za yanga. Hazina tofauti sana kwenye muundo hata ukiangalia kola zake utaona hilo.
 
Jezi hamna pale,kolo watajilazimisha tu kununua huku moyoni wakijua wamepigwa
Kwani jezi mkiwa nazo nzuri nyie alafu Makombe tunachukua Sisi kuna shida gani?!!..Yani wewe unaona Bora Nguo kuliko uhai (Kazi)...hebu fikiria vizuri hivi ungekua unatumia jina lako huko watu wangeshangaa kituko gani hiki!!!..Haya jezi mbaya tukusaidie nini?!!.. Nilidhani unaongelea vikosi kumbe Nguo?!!..Ajabu hili lipo kwenye family yako tu!!!
 
Simba Ni Simba Tu Ninyi Endeleeni Na GSM
Nugaz Hajaamini Kandarasi Yake Kukoma Ghafla
 
2909726_5.jpeg


Hii jezi kwangu ni moto sana
 
Back
Top Bottom