JF DAR-WING,WHITE PARTY HAPO Tar: 26 JANUARY, MICHANGO IMEANZA KUPOKELEWA....!!!!!!!

Mi mzima sana!

Ntaendelea kuomba hili usikose!
Ruttashobolwa mi mzima namshukuru Mungu siju wewe, Nahisi na ww ni mmoja wa watu wanofanya maombi niwepo hapo..ill let u know usihofu
 

Wakuu naona list haiongezeki au wengine hawataki kutundikwa ubaoni kuonesha wamechangia? nina wasiwasi kama idadi itakuwa ndogo lengo halitatimia maana shughuli ni watu ati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…