JF-get together party Disemba 2018

Hata,
Kwanza baada ya kuona mpangilio wa party na maudhui yake niliona hakuna haja ya ukumbi.

Na nilieleza pia.
Personally sikuona suggestion yako. Ulisuggest tufanye eneo gani? Ukumbuke hapa mjini maeneo kariby yote yanalipwa hasa huko beach uliposema. Coco hapafai kukutana labda tuandae makutano ya kwenda kula mihogo
 
Karibu kwako mkuu...mimi wa Gezaulole imekula kwangu,siwezi kuja

Kweli hapo nimekuwa mbinafsi, ila nimechukulia first plan Kigamboni, then Kinondoni naona kama ni Centre, hata Uber, Taxify, Bajaj zinapatikana kwa wasio na private.

All in all tuombe ifanikiwe, maana hakuna party isiyo na changamoto.

Kuna watu hatutakuja kwa sababu binafsi lakini tunasingizia dress codes, ukumbi nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…