Ahahahahhahaa kweli??? Naonekana hivyo???unywe maji sasa bebe umerap sana
we appreciate you guys
Hata emailSina simu mkuu
Hahahahhahaha ningeandamana kaa usingekujaKwa vikwazo ninzvyokumbana navyo lazima niwe mvumilivu sana
umepewa ruhusa?? mbona unacheka??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kiasi mpenziAhahahahhahaa kweli??? Naonekana hivyo???
[emoji177][emoji177][emoji177]Archduke, s tu kwa kua tu wapenzi hapana, bali vile uavyotekeleza majukum yako na kusimama kama mwanaume kwenye gurudum letu la kimahusiano inanifanya nikuone kama mpenzi, rafiki, mume na baba mwema wa baadae. Sitaacha kukushukuru kwa hiki unafanya kw ajili yangu, and yes i promise to be with you kivyovyote vile, had pale Allah atakapopitisha faradhi yake,
Karucee nakukubali na kuvutiwa maandiko, nakiri nimesoma mada zako zote had siku unajiunga humu, nakupenda na kukubali sana ntakuja na Archduke utufundishe kingereza
Don Clericuzio, hope you know vile nakukubali wewe ni zaidi ya kaka kwangu
Sky Eclat napenda kusoma maandiko yako haswa jukwaa la madaktari, na pia vile ukichapiaga kwangu hua nburudan mana hua nacheka sana
steve mollel brother una kipaji nilianza kukusoma kimya kimya had meshindwa kuvumilia nimejitokeza hadharani kabisa usiache kutunga riwaya ni kipaji unacho
Mwifwa hahahhahaha nakupenda tu na kazi yako nna mpango wa kukupandisha cheo
mahondaw wewe ni mwanamke jasiri, umenifundisha kusimamia kile unaona ni sahihi hasa linapokuja swala la baby hahahhah
Asprin na Daby naachaje kuwasahau na coments zenu za kunichekesha mmekua watu wa kuniongezea siku za kuish kila nisomapo comments zenu
Tater hope you know ni jinsi gani nathamini mchango wako kule kwenye lile jukwaa letu
Slim5, BAK, Shunie Sesten Zakazaka, Hajar, CUTE bKhantwe i miss you,
sumbai yo the best!!
Nawapenda na kuwakubali wengi siwez kuwamaliza kuwataja jaman
Ila we mtu unanijua sanahad najishtukia bwanakiasi mpenzi
we are in love babeNaanzaje kuacha kukupenda eti?? Hujui tu ni namna gan moyo wangu umegubikwa na mahabba juu yako, am in love
Nakupenda pia mchumba ake LiHeaven sent hekma zake
Nifah she is my girl
Dinazarde my binamu toka enzii
Shunie my friend nje ndani
Mzigua nampenda she is beuty with brain
Sky eclat nampenda,nalendwa pia!hawa wamama acha tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ya kukubusu???? Si mesema mkumbatiane kabisaumepewa ruhusa?? mbona unacheka??
Natakiwa kujibu nn bebwe are in love babe
tutoke hapaIla we mtu unanijua sanahad najishtukia bwana
Shem darling nawakubali sana na wakunyumba wangu. Mwaka usiishe please ufanikishe ndoaMadame S sina maelezo kwa huyu (unaelewa babe)
Hajar upole wake
Mzigua90 huyu dada ana madini ya ajabu i appreciate
Mwifwa anafanyakazi nzuri sana me na Madame S tunaelewa
Ushimen bado unakumbuka?? unapotoa mguu wako naweka wangu hebu fungua profile yako nataka kukufollow
Da'Vinci i appreciate bro
Shunie shkamoo
Sky Eclat nakuelewa sana kule jf doctor usichoke kwa ushauri i appreciate
Sesten Zakazaka madini yako nayaelewaga ingawa nayapitaga kimya kimya sometimes
snowhite nakuelewa pia
Carlos The Jackal i appreciate mr 😀😀 nakujua unajua??
cute b i appreciate....GGMU
mpo wengi aisee
Archduke
nani bado???
Numbisa jiranii i know you know...punguza kujificha sana huko kwenye malikes
Mshenga mwenyew huyo[emoji119][emoji119][emoji119]Huyu joka jeusi kwa kuvunja tuu mbavu zangu.
Nyani Ngabu nikisoma comment zake huwa nafurahi sana na kingereza chake sijui cha kiyahudi kile kigumu sana.
cute b na sumbai my best couple na hii ya mahondaw na smart
Wambea wenzangu sasa wotee mliostaafu na mnaoendelea kulisongesha,
rubii
Maserati
Shunie
Raynavero
Mama Sabrina
@demmis
Na wengine wengi.
Sent from my TECNO-C5 using Tapatalk
Shukran mkuu
Aaamin, atutunze wote pia, we acha tu naona tangu ban zikufululize huku unetukimbia kabisa unaingia kwa kuibia
Usicheke sana
[emoji23][emoji23]usizivunje mbavu bibie...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Darmian hii kauli yako nikiiona mbavu sina