Jf members appreciation post: Taja kitu kinachokuvutia kutoka kwa mwanajf yeyote

Jf members appreciation post: Taja kitu kinachokuvutia kutoka kwa mwanajf yeyote

Da vinci, kwa nondo anazoshushaga kule jamii intelijensi


Nahuja kwa kuwa anawajali vibenteni

mzigua kwa sababu tu ani tu

Demiss na wengine wengi tyuu nkisema niwataje ntajaza servers za jf
 
Archduke, s tu kwa kua tu wapenzi hapana, bali vile uavyotekeleza majukum yako na kusimama kama mwanaume kwenye gurudum letu la kimahusiano inanifanya nikuone kama mpenzi, rafiki, mume na baba mwema wa baadae. Sitaacha kukushukuru kwa hiki unafanya kw ajili yangu, and yes i promise to be with you kivyovyote vile, had pale Allah atakapopitisha faradhi yake,

Karucee nakukubali na kuvutiwa maandiko, nakiri nimesoma mada zako zote had siku unajiunga humu, nakupenda na kukubali sana ntakuja na Archduke utufundishe kingereza

Don Clericuzio, hope you know vile nakukubali wewe ni zaidi ya kaka kwangu

Sky Eclat napenda kusoma maandiko yako haswa jukwaa la madaktari, na pia vile ukichapiaga kwangu hua nburudan mana hua nacheka sana

steve mollel brother una kipaji nilianza kukusoma kimya kimya had meshindwa kuvumilia nimejitokeza hadharani kabisa usiache kutunga riwaya ni kipaji unacho

Mwifwa hahahhahaha nakupenda tu na kazi yako nna mpango wa kukupandisha cheo

mahondaw wewe ni mwanamke jasiri, umenifundisha kusimamia kile unaona ni sahihi hasa linapokuja swala la baby hahahhah

Asprin na Daby naachaje kuwasahau na coments zenu za kunichekesha mmekua watu wa kuniongezea siku za kuish kila nisomapo comments zenu

Tater hope you know ni jinsi gani nathamini mchango wako kule kwenye lile jukwaa letu

Slim5, BAK, Shunie Sesten Zakazaka, Hajar, CUTE bKhantwe i miss you,

sumbai yo the best!!


Nawapenda na kuwakubali wengi siwez kuwamaliza kuwataja jaman
[emoji177][emoji177][emoji177]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Madame S sina maelezo kwa huyu (unaelewa babe)

Hajar upole wake

Mzigua90 huyu dada ana madini ya ajabu i appreciate

Mwifwa anafanyakazi nzuri sana me na Madame S tunaelewa

Ushimen bado unakumbuka?? unapotoa mguu wako naweka wangu hebu fungua profile yako nataka kukufollow

Da'Vinci i appreciate bro

Shunie shkamoo

Sky Eclat nakuelewa sana kule jf doctor usichoke kwa ushauri i appreciate

Sesten Zakazaka madini yako nayaelewaga ingawa nayapitaga kimya kimya sometimes

snowhite nakuelewa pia

Carlos The Jackal i appreciate mr 😀😀 nakujua unajua??

cute b i appreciate....GGMU

mpo wengi aisee
Archduke

nani bado???

Numbisa jiranii i know you know...punguza kujificha sana huko kwenye malikes
Shem darling nawakubali sana na wakunyumba wangu. Mwaka usiishe please ufanikishe ndoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu joka jeusi kwa kuvunja tuu mbavu zangu.
Nyani Ngabu nikisoma comment zake huwa nafurahi sana na kingereza chake sijui cha kiyahudi kile kigumu sana.
cute b na sumbai my best couple na hii ya mahondaw na smart
Wambea wenzangu sasa wotee mliostaafu na mnaoendelea kulisongesha,
rubii
Maserati
Shunie
Raynavero
Mama Sabrina
@demmis
Na wengine wengi.


Sent from my TECNO-C5 using Tapatalk
Mshenga mwenyew huyo[emoji119][emoji119][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom