Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji15]hapana why unasema ivo?Unataka ubakwe nami
We tulia dawa ikukolee 🤒[emoji15]hapana why unasema ivo?
eeeh... Nimekumiss ulikua wapi rafik yangu?Uko poa?
Nipo wangu,ubusy tueeeh... Nimekumiss ulikua wapi rafik yangu?
usije ukaniroga na hio dawa fanya uimwage chini tuu...We tulia dawa ikukolee
🤣🤣🤠Haya sawausije ukaniroga na hio dawa fanya uimwage chini tuu...
ahaa ni kawaida... Afu fanya Uwe unamalizia na neno "rafiki" au "uncle" unapotaja neno "wangu"... mimi wasije kunifikiria tofauti rafikNipo wangu,ubusy tu
Atakufikiria nani?ahaa ni kawaida... Afu fanya Uwe unamalizia na neno "rafiki" au "uncle" unapotaja neno "wangu"... mimi wasije kunifikiria tofauti rafik
wananzengo tu si unajua watu... Au wenye vuwi wajinyonge?[emoji23]Atakufikiria nani?
ilisadikika... Ni muda sasa umepita sijajua kama wamepatikana...Wamepotea?
🤣🤣🤣Mie nina mabwana wengi humu ivo hawawezi kukutiliz shaka...watajua wewe ni mmoja wao😋wananzengo tu si unajua watu... Au wenye vuwi wajinyonge?[emoji23]
na mimi ndio stak niwe miongon mwao... Nitasimama mm kama mimi me uncle wako rafk yangu[emoji23]Mie nina mabwana wengi humu ivo hawawezi kukutiliz shaka...watajua wewe ni mmoja wao
🤣🤣🤣🤣 Uncle tena ?😥na mimi ndio stak niwe miongon mwao... Nitasimama mm kama mimi me uncle wako rafk yangu[emoji23]
eeeh! We ulitakaje?...Uncle tena ?
No,ni sawa tueeeh! We ulitakaje?...
sasa unauliza nini... Afu umesema una mabwana wengi humu... Fanya uwe unanipa 20% ya maokoto uncleee...No,ni sawa tu