JF Members Madam S na Dahan, wako wapi siku hizi?

JF Members Madam S na Dahan, wako wapi siku hizi?

Haya 😁
FB_IMG_16921145522916150.jpg
 
Furaha ipi😁😁, au Kuna Siri siijui🤔🏃
🤣🤣🤣Si kama ivi kujiachia kuandika chochote ambacho ofisini I mean public huwez jiachia au kutamka.....humu hawakuangalii usoni....Kuna mtu anatukana ujingaujinga tu humu lakini kitaa kumbe ni Boss Kwa office na home wanamwita baba au mama
 
Back
Top Bottom