JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

Bibi Tatu binti Mzee - mmoja wa wanawake waasisi wa kwanza TANU. Bibi Tatu binti Mzee, Titi Mohamed na Halima Hamisi walikuwa waasisi wa kwanza wa kike kuingia TANU na walikuwa wajumbe wa Kamati Kuu ya TANU.
“Tulikuwa tunakutana kwa Hamza (Mwapachu) na Sheneda (Plantan) ndiye alikuja kutuambia kuwa TANU inatafuta kina mama manake wakati ule wanaume tu ndo walikuwa kwenye TANU” ~ Bibi Tatu binti Mzee (Two Afrikan Statemen- John Hatch)

Mohamed Said
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…