KING KIGODA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2018
- 3,893
- 3,145
Mzee ana hereni sikioni!Siku zinakimbia sana ase ,huyo dogo kwenye kopo hapo ndio huyo mzee pembeni na kwa sasa ana 57 years [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2568298
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee ana hereni sikioni!Siku zinakimbia sana ase ,huyo dogo kwenye kopo hapo ndio huyo mzee pembeni na kwa sasa ana 57 years [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2568298
Kuchonga meno ilikuwa ni mila za kwao ingawa hawakuwa wakiyachonga kama Wamakonde(wale wa chale na ndonya).Angalia meno yake ya mbele..lilikuwa jina la utani hata hivyo na hakulipenda abadan [emoji23]
Aisee kumbe!!Angalia meno yake ya mbele..lilikuwa jina la utani hata hivyo na hakulipenda abadan [emoji23]
Ila Kapuya alikuwa jau kinoma. Yaani kijijini kwake yeye pekee ndio ana umeme yaani umeme umevutwa toka Mjini umeishia nyumbani kwake pekeeKapuya, Wilson Masilingi huyo mwingine simjui