Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,277
- 8,860
Angelicious mimi sifichui siri za watu tena nastaili kupewa tunzo ya ufichaji siri mwaka huuha ha ha!!! uran umenifurahisha sana kweli huu udaku special, nampa pole miss neddy kumbe hakujua mmewe Excel ni TEAMbazaz? ndo mana me nilishindwana naye kwa sababu hiyo ila usijali mamy utazoea tu....we mine Daudi1 na Kibo10 ndo nini kufichua siri ya mwenzenu mtaja sababisha watu wafe bure, kwanza mmejuaje au nyie ndo wale wale?????
Najuwa watu wengi wasio waaminifu kwenye ndoa zao sema huwa nakula mikausho kuepusha mauwaji ya kiufo ufo ila tuhuma zikizidi naweka kila kitu hadharani tena uran ni bonge la mchonganishi sasa dawa yake ipo.
Last edited by a moderator: