JF Udaku.. Special Edition!! 2014.

JF Udaku.. Special Edition!! 2014.

ha ha ha!!! uran umenifurahisha sana kweli huu udaku special, nampa pole miss neddy kumbe hakujua mmewe Excel ni TEAMbazaz? ndo mana me nilishindwana naye kwa sababu hiyo ila usijali mamy utazoea tu....we mine Daudi1 na Kibo10 ndo nini kufichua siri ya mwenzenu mtaja sababisha watu wafe bure, kwanza mmejuaje au nyie ndo wale wale?????
Angelicious mimi sifichui siri za watu tena nastaili kupewa tunzo ya ufichaji siri mwaka huu

Najuwa watu wengi wasio waaminifu kwenye ndoa zao sema huwa nakula mikausho kuepusha mauwaji ya kiufo ufo ila tuhuma zikizidi naweka kila kitu hadharani tena uran ni bonge la mchonganishi sasa dawa yake ipo.
 
Last edited by a moderator:

Kumbe ndo tabia ya uran uchonganishi sikujua ati!!!!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
There is plenty on the table.....nyie weken tangazo mtakuwa served accordingly

na wanaume wa JF mlivyoniandama mwaka huu?

Aisee kaka wa watu asighairi tu.

Muniache nipumue acheni kauzibe.

Manina nyie.
 
Nabishaaaaaaa.

Sijawahi kuwa na mbeba boksi ila sasa nataka kujimuvuzisha kwa Desert Storm.

Anataka tufunge ndoa so mwenye pingamizi tunampa 21 days na atoe sababu not to mention evidence.

Naweka pingamizi!!!
 
Last edited by a moderator:
Duh......udaku umerejea....!! Hapa inabidi kutembea kwa step maana humu unaweza kuharibiwa cv hivihivi.
 
Angelicious mimi sifichui siri za watu tena nastaili kupewa tunzo ya ufichaji siri mwaka huu

Najuwa watu wengi wasio waaminifu kwenye ndoa zao sema huwa nakula mikausho kuepusha mauwaji ya kiufo ufo ila tuhuma zikizidi naweka kila kitu hadharani tena uran ni bonge la mchonganishi sasa dawa yake ipo.

unanikana leo, hivi kati ya mimi na wewe mchonganishi ni nani?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom