Jiandae sana kisaikolojia kwa lolote mkeo akianza kujihusisha na shughuli za siasa

Jiandae sana kisaikolojia kwa lolote mkeo akianza kujihusisha na shughuli za siasa

Iwe chama tawala au upinzani haitakuwa salama sana. Jitahidi kuomba Mungu akupe ujasiri na kukuondolea roho ya wivu na gubu kwa yajayo. Kama akianza kuhudhuria mikesha ya mwenge ndo usali zaidi. Akifikia hatua ya kutaka teuzi za viti maalum funga siku 40 bila kula wala kunywa.
Kuna jambo Umefanya niwaze ila Sasa natunza comment MOYONII 😊
 
1000178951.jpg
 
1. Katika maisha hata kama huyo mkeo si mwanasiasa, usijiweke katika mazingira ya kuzuia au kumlinda mwanamke

2. Mwanamke akiamua kutumia sehemu zake za siri kama sehemu za umma, anaweza kukuua muda wowote ili mradi usimletee jam.

3. Siasa ni ngumu sana hususan kwa dada zetu hasa wakati wa kura za maoni..sehemu zao za siri hupata shda sana
 
Unenenacho kinaukwel kabisa

Kuna mwenzangu enzi za ujana mm nikiwa advance ye alienda ualimu huku tukiwa wapenz akaajiriwa hapa jjn dsm bahat nzur nam chuo nikaja hapa hapa huwez amin alijiunga chama chakavu vyeo alipanda kama anatelemka mlima namaloza chuo tayar huko wilayan n katibu wa chama mkoa fulan

Nikapigiwa simu ya vitisho na wazir fulan niachane na bint nikatii bila shurit Leo bint n mbunge kwa awamu ya 2 sasa kupitia vit maalum
Japo ananikimbuka ila siasa n mchezo mchafu kwa mabinti
Unapasha pasha kiporo mkuu,Au anakugea tumaokoto twa hapa na pale?
 
Back
Top Bottom