Jiandae sana kisaikolojia kwa lolote mkeo akianza kujihusisha na shughuli za siasa

Mmeanza kutoa siri zenu sasa..!!
JK si alisema “Kila mla cha mwenzie na chake uliwa”

Kwahiyo mlitaka mpande vyeo bila kuendesha farasi kwanza? 😹

Lazima mkalie farasi ili mpate mwendo.!!
 
Iwe chama tawala au upinzani haitakuwa salama sana. Jitahidi kuomba Mungu akupe ujasiri na kukuondolea roho ya wivu na gubu kwa yajayo. Kama akianza kuhudhuria mikesha ya mwenge ndo usali zaidi. Akifikia hatua ya kutaka teuzi za viti maalum funga siku 40 bila kula wala kunywa.
Wengi wanaishia kuliwa na wakubwa tu...zaidi week kufuli la Asili la kunasana...utapiga hela balaa...maana akinasa tu ni Bilioni 1 bila hiyo tunaipeleka hewani Dunia Ione kama ya yule Mkuu wa Mkoa kutoka Mtwara Pesa mingi ilitumika kufifisha juhudi maana alikula kinyeo
 
Iwe chama tawala au upinzani haitakuwa salama sana. Jitahidi kuomba Mungu akupe ujasiri na kukuondolea roho ya wivu na gubu kwa yajayo. Kama akianza kuhudhuria mikesha ya mwenge ndo usali zaidi. Akifikia hatua ya kutaka teuzi za viti maalum funga siku 40 bila kula wala kunywa.
Dah,
Akianza hayo mambo wala usipoteze muda, kwa usalama wako tafuta mzigo mwingine chap
 
Unenenacho kinaukwel kabisa

Kuna mwenzangu enzi za ujana mm nikiwa advance ye alienda ualimu huku tukiwa wapenz akaajiriwa hapa jjn dsm bahat nzur nam chuo nikaja hapa hapa huwez amin alijiunga chama chakavu vyeo alipanda kama anatelemka mlima namaloza chuo tayar huko wilayan n katibu wa chama mkoa fulan

Nikapigiwa simu ya vitisho na wazir fulan niachane na bint nikatii bila shurit Leo bint n mbunge kwa awamu ya 2 sasa kupitia vit maalum
Japo ananikimbuka ila siasa n mchezo mchafu kwa mabinti
kwaiyo ukiomba unapewa 😂🤣
 
Iwe chama tawala au upinzani haitakuwa salama sana. Jitahidi kuomba Mungu akupe ujasiri na kukuondolea roho ya wivu na gubu kwa yajayo. Kama akianza kuhudhuria mikesha ya mwenge ndo usali zaidi. Akifikia hatua ya kutaka teuzi za viti maalum funga siku 40 bila kula wala kunywa.
Kufunga na kusali kwa ajili ya K ni kumkufuru Mungu.

Siyo teuzi ama shuhuli za kisiasa tu, hata akianza kubuni biashara ngeni za kukaa mbali na wewe ama za kusafiri masafa marefu, elewa kaota mbawa huyo, jiongeze hata bila kusali ama kumfungia.
 
Unenenacho kinaukwel kabisa

Kuna mwenzangu enzi za ujana mm nikiwa advance ye alienda ualimu huku tukiwa wapenz akaajiriwa hapa jjn dsm bahat nzur nam chuo nikaja hapa hapa huwez amin alijiunga chama chakavu vyeo alipanda kama anatelemka mlima namaloza chuo tayar huko wilayan n katibu wa chama mkoa fulan

Nikapigiwa simu ya vitisho na wazir fulan niachane na bint nikatii bila shurit Leo bint n mbunge kwa awamu ya 2 sasa kupitia vit maalum
Japo ananikimbuka ila siasa n mchezo mchafu kwa mabinti
naona ndugu yetu unalalmika kisiasa.. Ama kweli wanasiasa si watu wazuri wametia mchanga kitumbua chako. 😀
 
jambo lenyewe la mwanamke kujiingiza kwenye siasa N na mwanamke Kupiga kura ni mambo ya kikafiri,. Ni mpango wa ibirisi kumtoa mwanamke pahala pake na kumuaribu.... wenyewe wakidai jambo hilo ni la kisasa na kiusawa wakipotosha NENO la MUNGU, Bali lah jambombo hilo ni la KIKAFIRI.
 
Iwe chama tawala au upinzani haitakuwa salama sana. Jitahidi kuomba Mungu akupe ujasiri na kukuondolea roho ya wivu na gubu kwa yajayo. Kama akianza kuhudhuria mikesha ya mwenge ndo usali zaidi. Akifikia hatua ya kutaka teuzi za viti maalum funga siku 40 bila kula wala kunywa.
Si mpaka tushauriane kabla hajaruhusiwa kwenda ktk siasa?Na hapo ndo ntafunga ili Mungu anifunulie hatima ya ndoa yetu.Kama mke wangu anasomeka vizuri na dhamira yake inakubalika na maombi yangu ntamruhusu.Margret thacher, aliyekuwa pm wa uingereza,alikuwa mwanamke aliyeweka mipaka kati ya ndoa na siasa.Ndiyo alihakikisha anampikia mumewe kabla ya kwenda ofisini.Inawezekana penye dhamira njema
 
Kuna jamaa mke wake anajishughulisha na siasa za chama tawala ngazi ya wilaya. Jamaa ameamua yasiwe makubwa na yeye awe anajitwalia miwanawake ili ngoma iwe droo, anaishi na mke wake vizuri tu hakuna ugomvi
 
Iwe chama tawala au upinzani haitakuwa salama sana. Jitahidi kuomba Mungu akupe ujasiri na kukuondolea roho ya wivu na gubu kwa yajayo. Kama akianza kuhudhuria mikesha ya mwenge ndo usali zaidi. Akifikia hatua ya kutaka teuzi za viti maalum funga siku 40 bila kula wala kunywa.
Vipi mkuu ushagongewa mke wako na mchepuko?
 
Iwe chama tawala au upinzani haitakuwa salama sana. Jitahidi kuomba Mungu akupe ujasiri na kukuondolea roho ya wivu na gubu kwa yajayo. Kama akianza kuhudhuria mikesha ya mwenge ndo usali zaidi. Akifikia hatua ya kutaka teuzi za viti maalum funga siku 40 bila kula wala kunywa.
Mkuu umekutwa nini
 
Back
Top Bottom