Jiandae sana kisaikolojia kwa lolote mkeo akianza kujihusisha na shughuli za siasa

Nina mifano kama 5 jamaa zangu kupata majanga na mpaka kuachana na wake zao waliojiingiza kwenye siasa, na pia mifano mizuri zaidi kwa wake kujiingiza kwenye siasa na ndoa zao kudumu mpaka leo
Yawezekana na swala la mwanamke kuijelewa na kujitambuwa.
Yale mafisi bungeni mbunge wa kike akitanuwa mafisi yanapita nawo.
Mbunge wa kike akijielewa ndoa itadumu. Labda ni tamaa na ujinga ndio unaowaharibu wanawake..
 
Ndoa za wanasiasa zinazodumu ni pale mwanaume anapoamua tu kuvumilia na kukubaliana na hali. Kuna mzee wetu mmoja wa town hadi leo anaishi na mkewe ila hata yeye anajua kuna hayati mmoja alikuwa anatafuna mkewe na hakuwa na la kufanya.
 
Iwe chama tawala au upinzani haitakuwa salama sana. Jitahidi kuomba Mungu akupe ujasiri na kukuondolea roho ya wivu na gubu kwa yajayo. Kama akianza kuhudhuria mikesha ya mwenge ndo usali zaidi. Akifikia hatua ya kutaka teuzi za viti maalum funga siku 40 bila kula wala kunywa.
Kizuri kiache na wenzako wale
 
Kuna mzee mmoja alikufa kisa mkewe ni diwani wa viti maalum na mjumbe wa nini nini ccm

Mala simu inapigwa kwa waifu "JIANDAE KESHO UNATAKIWA KUHUDHURIA MKUTANO DODOMA,Tiketi ya ndege inakufata mzee wa watu miaka miwili shaliwa kichwa

Kwa sasa mama yuko free ,kanunua gari na vikao tele tele vinamfata ila babu kutangulia mbele za haki
 
Polee yake sana, sio wote lakini.
 
wanatumia kodi zetu
 
Back
Top Bottom