Oyaa wewe kazi kuchekacheka. Halafu mkuu huwa una roho ngumu likija swala la kifo. Yani huogopi kabisa.😀 😀 😀
Ndugu yangu unaogopaje kifo ambacho kila mtu atakipata? Kifo ni kama kuzaliwa tu .Oyaa wewe kazi kuchekacheka. Halafu mkuu huwa una roho ngumu likija swala la kifo. Yani huogopi kabisa.
Aione Christina Shusho.Ni mapungufu ya kiuumbaji. Mbele ya pesa na umaarufu mwanamke yyt huwezi kumshauri lolote
Cc: waimbaji wengi wa nyimbo za injili
Kwani wenye hizo mambo wanaonyesha hadharani?Hamna mwanamama kama Lizzy Mambosho hana hizo mbanga
Jamaa kutoka Wizara ya Maji?.Kuna jamaa mke wake anajishughulisha na siasa za chama tawala ngazi ya wilaya. Jamaa ameamua yasiwe makubwa na yeye awe anajitwalia miwanawake ili ngoma iwe droo, anaishi na mke wake vizuri tu hakuna ugomvi
Hahahaha, naendelea poa kabisa,nafurahi kukuonaMzungu wangu mwenyewe wa roho na mwili...mimi sijambo...unaendeleaje wewe?
Aiseee🙄🙄🙄3. Siasa ni ngumu sana hususan kwa dada zetu hasa wakati wa kura za maoni..sehemu zao za siri hupata shda sana
DuuuhKwa hiyo unataka kuniambia mpaka unafika ngazi za juu hata bikra za nyuma wanakua hawana maana wanawake wanatamaa sana
Kumbeee?? LolPeneza
Unamzungumziaje mwenye kiti wenu wa kizimkazi?Iwe chama tawala au upinzani haitakuwa salama sana. Jitahidi kuomba Mungu akupe ujasiri na kukuondolea roho ya wivu na gubu kwa yajayo. Kama akianza kuhudhuria mikesha ya mwenge ndo usali zaidi. Akifikia hatua ya kutaka teuzi za viti maalum funga siku 40 bila kula wala kunywa.
Mchepuko wa Dr slaa? AuHapana. Alikuwa mchepuko wa Padre aliyeasi.
[emoji23][emoji23][emoji23]Mmeanza kutoa siri zenu sasa..!!
JK si alisema “Kila mla cha mwenzie na chake uliwa”
Kwahiyo mlitaka mpande vyeo bila kuendesha farasi kwanza? [emoji81]
Lazima mkalie farasi ili mpate mwendo.!!
Kwa kweli ufanye umtag hapa Edo. Lol [emoji23][emoji23][emoji23]Siku nyingine nitamtag[emoji23][emoji1487]
Aje awathibitishie
Utaniona sana my heart maana msimu wa mvua umeisha nimerudi mjini..Hahahaha, naendelea poa kabisa,nafurahi kukuona
Hadi wewe huamini kama hawezi kubadilika😂.Kwa kweli ufanye umtag hapa Edo. Lol [emoji23][emoji23][emoji
Matendo yao tu utayajua kama ulivyojionea 😅Kwani wenye hizo mambo wanaonyesha hadharani?
Karibu sana,Sasa nitanenepaUtaniona sana my heart maana msimu wa mvua umeisha nimerudi mjini..
Hakika hilo halikwepeki!Karibu sana,Sasa nitanenepa
Kabisa kabisa,ukiwepo wewe nakua na Aman humuHakika hilo halikwepeki!