Jibu la Halima Mdee kuhusiana na msimamo wa Lissu juu ya Wabunge 19 (COVID 19)

Unachotaka ni waje waseme kile ambacho Lissu anaamini bila kujali kama ni kweli au la
Lissu anaujua ukweli ila tu hataki kuweka yote hadharani na ndio maana hata wao wanajua hawana pa kuchomokea labda wakiri ukweli wote ingawa kuna wengine wamejishtukia tayari kina Salum mwalimu na Kigaila alikimbia hata hakuaga kabisa maana wanajua kinachofuata.
 
Basi bwana. Umeshinda.

Amandla...
 
Hata Msigwa akirudi Lissu hana mamlaka ni Mkutano Mkuu, na obvious lazima aombe radhi na kueleza kwanini alihama!! Wakimuelewa watamrudisha so hao kina Mdee hakuna shortcut ni lazima wakiri
Nadhani hauelewi maana ya neno kukiri au admit. Kukiri ina maana kuwa kuna tuhuma tayari ambazo mnataka wazikubali. Hiyo sio haki. Hata mahakamani una haki ya kukiri kosa au kukataa. Hapa ina maana hamtafuti haki bali kuwadhalilisha.

Ni yale yale ya plea bargain.

Amandla...
 
Unaniwekea maneno mdomoni. Sijasema kuwa walitishiwa na JPM au Ndugai. Nilisema kuwa hao wawili wana uwezo wa kumtishia mtu lakini sikusema kuwa walitumia huo uwezo katika mazingira yale. Wanaojua ukweli ni wao na Ndugai. Wengine tuna speculate tu.
Utazungumziaje forgery wakati hata hiyo fomu hujaiona? Walifoji hewani?
Ni haki ya yao kupinga kufukuzwa. Na wenye mamlaka ya kushtakiwa Chadema ni trustee. Hawajafanya kosa lolote. Personal animus ndio inawasumbua wengi wenu.

Amandla...
 
Ndio nyinyi mnao amini kuwa Lissu ni mpango wa Mungu na anajua kila kitu na hakosei. Sasa ulitaka Kigaila na Mwalimu wasubiri nini wakati tayari wameishateuliwa watu wengine kushika nafasi zao? Kigaila ameusimamia uchaguzi kwa haki pamoja na juhudi zenu za kumpakazia ( anawanyima wajumbe wenu vitambulisho n.k.). Mnataka nini zaidi? Nyinyi si ndio kila siku mnasema kuwa hawaaminiki kwa sababu wenza wao ni miongoni mwa kundi la Halima. Sasa mnataka wawaage. Ili iwaje?

Amandla...
 
Huenda mdee kashaamua kujiunga na vyama vingine
 
Nani amesema chama ni mali yake, all lissu anataka ni taratibu zifuatwe. Hao walipata ubunge in who name?

Taratibu za chama hazikufuatwa why? Nani alihusika ku sign?

KAma chama akifuati katiba yake, kitaweza kufuata katiba ya nchi kweli?
Sasa hiki chama kinapokea ruzuku ipi, ya Mbunge mmoja aliyeshinda, au na ya hawa wengine 19 wa kuteuliwa?
Maridhiano yalifanya wakapokea ruzuku, siyo swala la katiba.
Anapaswa akatae, ruzuku ili kuwakataa wabunge.
 
Kwahiyo kauli ya mwisho unayo wewe? Kwamba unajilinganisha na Mwenyekiti Lissu??

COVID 19 hatukutaki!! Mtaondoka na Mbowe wenu. Wapuuzi wakubwa
Hahaha Huyo Lisu, hawezi kuwa msemaji wa mwisho, kile ni chama na uongozi ni dhamana ya muda mfupi tu. Kuwa mwenyekiti hakumfanyi awe msemaji wa mwisho, bado kuna vikao na vinafanya maamuzi siyo yeye anayefanya maamuzi ya mwisho.

Chuki na hasira zako hazimsaidii wala hazinisaidii mimi. Chadema inapokea ruzuku kutoka kwa hao covid19, wewe unasema waondoke, waende wapi na sasa wanatambuliwa ni wabunge wa chadema. Bunge,Serikali na mahakam zinafahamu ni wabunge wa viti maalum chadema.
 
Ninyi ni watu wa aina gani? Kwanza ulikuwa humtaki, sasa hivi unampangia nini aseme! Kama unafikiri hao COVID 19 wanakuelewa sana fungua kampuni uwashauri wakulipe kabisa.
Hahaha hujielewi wewe na Lisu wako, Simpangii lakini asilopoke. Wabunge wa viti maalum chadema mnaowaita covid19, wanatambulika ndani ya chama labda Lisu ajitoe akili tu kutafuta umaarufu.
 
Mkuu fuatilia kwanza formula ya ruzuku, ndio umalizie ngonjera yako vizuri.
 
Mkuu kwani kujua kila kitu kuna shida??
 
Ni aibu sana kuwa mpumbavu Hadi kufikia kuchekwa na mtoto wa kike.
Nasema hv, ni suala la muda tu kabla ya mjuaji flani mshamba mshamba hivi hajatema bungo.
Maisha Yana zaidi ya vifungu vya Sheria (hii itaeleweka kwa wenye A za phy na Maths (hakuna nyumbu hata mmoja humu jf mwenye hizo)); maisha Yana zaidi ya hiki kitu kinachoitwa misimamo.......hata Adolf Hitler alikuwa na msimamo.....nini' kilijili kutokana na huo msimamo wake wa kutaka kuitawala Dunia?!!! Ujerumani ilikaribia kufutwa kwenye uso wa Dunia na kukaribia kugawanywa kabisa.

Tunaambiwa kwenye mafunzo ya kung Fu kuwa tumia maguvu makubwa anayokuja nayo opponent kumpiga mwenyewe.....yaani inakuwa anajipiga tu.
 
Siasa ni ya ajabu sana watu wanaweza kukufanya dekio la kusafishia uchafu wao wakimaliza wanakutupa jalalani
 
Wewe ndiye Bulaya bila shaka.
Acheni tamaa ya pesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…