Uchaguzi 2020 Jicho la tatu: Huu ndio utofauti wa Tundu Lissu na John Magufuli

Uchaguzi 2020 Jicho la tatu: Huu ndio utofauti wa Tundu Lissu na John Magufuli

Mleta mada kwa kulike Upumbavu huu, Mungu na akutende kadri ya maombi yako. Nakuhakikishia Mungu hadhihakiwi.
Hapana kila mtu lazima maoni yake yaheshimiwe yeye ameona hicho ndio kizuri kwake basi huyu Mungu amtendee sawasawa na mapenzi yake Ila mimi na wewe hatuna haki ya kumdharau wala kumhukumu.
 
Imagine km mtu mwenye level ya prof anahudhuria mkutano bila utashi wake na kwa lazima je wale anaowafundisha watakuwaje! We are in a hopeless nation.
Imagine mtu anayejiita nguli wa sheria anatumia ujuzi wake kulaani na kutukana mafisadi. Kesho yake anawasafisha na kuwasimamisha kuwa wagombea urais. Atafanya hivo hata kwny raslimali za nchi. Atawasaliti watanzania na kukimbilia nje. We have hopeless lawyers in this country. Shame on them.
 
Yuko aliyewaleta watu kwenye mkutano na malori ya mizigo ili kuonyesha anapendwa.

Huyu mwingine watu wamekuja kwa wingi kwa garama zao wenyewe.

Wa malori pia amekusanya wasanii ili kutumbuiza Sasa sijui ni kampeni au tamasha la fiesta?
 
Mmoja ni mzalendo kwa raslimali za nchi, mwingine ni msaliti wa nchi.
Mmoja anajua kanuni za kujenga uchumi, mwingine anajua kanuni za kubomoa uchumi wa nchi.
Mmoja ni mkweli sana, mwingine ni mwongo sana na anadanganya wananchi ili aonewe huruma.
Mmoja ni mcha Mungu, mwingine ni mcha Shetani anayekumbatia ushoga.
Mmoja anahubiri amani, mwingine anahubiri kumwaga damu.
 
Back
Top Bottom