Jifanye kidume lakini tambua kwamba ofisini kwa mkeo lazima kuna mwanaume anatoka nae kimapenzi

dume lenye uhakika halimchungulii mkewe πŸ’

lamda dume suruali....

R I P Laigwanan comrade ENL
 
Kama ni Malaya hata ukimfungulia biashara atagongwa na wateja
 
Bahati nzuri/mbaya mimi sina mke. Ila umeandika ujinga. Ofisini kwangu hakuna huo upuuzi watu wanaheshimiana. Acha kuwepo hata kuhisiwa tu haipo
Basi kama kama huna mke huwezi jua haya mambo ya watu wazima, baki na utoto wako.Au mwenzetu kipa katoka ?
 
Tena watu kama nyinyi mnaonyanyua nyanyua mdomo ndo mnachapiwa kwelikweli.
πŸ˜‚πŸ˜‚
Kuchapiwa sio tatizo. Tatizo hapa ninmindset yako inayofikiria kwamba matatizo yako ni lazima yawakute na wengine. Hapo ndio unapokosea.

Wewe ulioa malaya, sasa sio kila mtu kaoa malaya kama wewe. We cha kufanya pambana na hali yako lakin usitake watu woote tukuonee huruma.
 
Kwa mawazo yangu naona hapa issue kubwa ni tabia za mwanamke utakaemuoa na kumuweka ndani kama mkeo. Akiwa na tabia za kimalaya, hata kama hafanyi kazi, atagongwa na ma boda boda na wauza genge, tena hii ni mbaya zaidi maana kuna uwezekano mkubwa wa hata kugongewa hapo hapo home, tena kitanda ulichokinunua wewe mwenyewe. Kuna mshikaji wangu mmoja aligundua mkewe anagongwa na mdogo wake (mtoto wa baba mdogo), ambae jamaa alikua kamhifadhi hapo home wakati anajitafuta; dogo akawa anajilia nyama ya kaka, na sababu jamaa alikua mtu wa kusafiri basi dogo alikua anajilia kwa nafasi tu. Na huyo mke hakua anafanya kazi wala biashara yoyote. Hata ukimfungulia biashara kama ana tabia za umalaya bado atagongwa pia na hao hao wateja wake. Maisha ya sasa hivi hata kama mke hafanyi kazi, kusema kwamba utaweza kumchunga muda wote ni ngumu, maana yake usisafiri, usipate dharura, pia maana yake umfungie tu ndani na muda wote pia uwepo naye (mtakula nini sasa?).
Kuna mwingine wakati naishi kwenye vyumba vya kupanga, mke alikua anagongwa alfajiri ile, na mpangaji mwingine ambae hajaoa, mke anatoka kama anaenda chooni, anakutana na jamaa wanamalizana swafi kabisa, huku mume anakoroma ndani.
Cha muhimu, HAKIKISHA HAUOI MALAYA..!
lazima ukae
 
Siku ukifumania utabadili mtazamo
πŸ˜‚πŸ˜‚, nimfumanie mara ngapi sasa kamanda?
Mkuu kuna kitu mnakichanganya hapa, haijalishi mimi na wewe tunatombewa wake zetu, it doesnt conclude kwamba kila mwanamke ni kahaba. Kuna wanawake ni decent sanaaa na hata hayo mauchafu sio tu kuyafanya bali hata kuyawaza hawajawahi. Kubali kataa wapo wengi tuu.

Sio kila mwanamke anawaza umalaya tu chief. Wapo but ni sehemu tu kwakua ndio jamii, people cant be the same
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…