Jifanye kidume lakini tambua kwamba ofisini kwa mkeo lazima kuna mwanaume anatoka nae kimapenzi

Hii sio meme, huu ni ukweli ulio wazi

Siku hizi maisha ni kusaidiana na katika kusaidiana huko ndio maana baba anafanya kazi na mama pia anafanya kazi.

Ofisini kuna mambo mengi yanaendelea ikiwemo mabosi kuwataka kimapenzi wafanyakazi wao na hii mara nyingi hutokea kwa mabosi wa kiume kuwataka kimapenzi wafanyakazi wao wa kike ingawa hata mabosi wa kike baadhi yao hutoka kimapenzi na wafanyakazi wao wa kiume.

Wanawake wengine unakuta wao wenyewe ndio wanajilengesha kwa mabosi zao ili tu waongezwe mshahara au wapandishwe cheo na wengine huwataka kimapenzi wafanyakazi wenzao wakigundua tu wanalipwa mishahara mara mbili zaidi yao.

Nakumbuka mwaka flani niliwahi ajiriwa na kampuni moja hapa town na siku za mwanzoni nikashangaaa baadhi ya wadada wanajua hadi mshahara wangu sasa nikajiuliza nani aliewaambia lakini nikahisi huenda muhasibu tulienae sio msiri na anatoa taarifa za mishahara ya watu kwa baadhi ya Staffs.

Niliona dada mmoja mke wa mtu anajilengesha sana kwangu na kuna muda kama watu sio wengi ofisini alikua anakuja kunikalia mapajani kabisa na wezere lake la haja.

Kama ingekua sio kuogopa kutembea na mke wa mtu yule dada ningeshapita nae sema huwa naheshimu sana mke wa mtu

Kiukweli maofisni kuna mambo mengi sana machafu yanafanyika kwa wake za watu na waume zao hawajui chochote. Mida ya lunch wengi ndo wanatumia kufanya uzinzi maana lisaa limoja linatosha sana kwa watu waliodhamiria kuvunja amri ya sita.

Kama mwanaume unajiweza kiuchumi basi muachishe kazi mkeo na badala yale mfungulie biashara atakayo yeye hii kidogo itapunguza hatari ya mkeo kuliwa na mabosi ambao wamekuzidi pakubwa mno kiuchumi.

Kinga ni bora kuliko tiba!
Mkuu hata ukimfungulia biashara ni yale yale tu,anaweza kuliwa hata na mteja au mfanyabiashara mwenzake.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Biased comment.

Unadhani huko kwenye biashara ndio pako salama?
Basi sawa, utamfungulia biashara, na huko kuna wafanyabiashafa wenye mtaji mkubwa kuliko alionao yeye. Watatoka naye tu kama issue ni hiyo.

Suala la kujizuia kuzini/ uasherati linadhibitiwa kwa watu kuwa na hofu ya Mungu pekee. Mtu mwenye hofu ya Mungu huogopa sana kufanya dhambi ya zinaa.

N.B. Usichanganye kati ya mtu kuwa na hofu ya Mungu na kwenda kanisani. Kuna baashi ya watu wanaenda kanisani ila hawana hofu ya Mungu.
Siku hizi kwenye ukuta wa fensi nyumbani tunaunganisha room moja tunaweka ka min market anakaa hapo kila kukicha mpaka usiku, huku akiwa busy na pia na misosi ya watoto

Tumieni akili
 
Kama mwanaume unajiweza kiuchumi basi muachishe kazi mkeo na badala yale mfungulie biashara atakayo yeye hii kidogo itapunguza hatari ya mkeo kuliwa na mabosi ambao wamekuzidi pakubwa mno kiuchumi.

Kinga ni bora kuliko tiba!
Ndiyo tatizo la kudhani yaliyokupata wewe basi lazima yanawapata na wengine. Hiyo unayoita biashara ni nini? Siyo kazi? Haimkutanishi na watu?
Badala ya kutafuta wanawake wa kuoa, ninyi mkaenda kutafuta Malaya mkaoa. Achaneni na habari za kulazimisha Malaya wawe wake, binginevyo mtazidi kuumia tu.
 
Inategemea na ofisi. Hapa kwetu haya mababa unayapeleka wapi?

Kwahiyo mtoa mada tukikuvesha sketi sku 1 tu asbh, mchana umeliwa huko kazini?
Kwa hiyo wangukua wapo vijana na wewe wangekukula?
 
Siku hizi kwenye ukuta wa fensi nyumbani tunaunganisha room moja tunaweka ka min market anakaa hapo kila kukicha mpaka usiku, huku akiwa busy na pia na misosi ya watoto

Tumieni akili
Hiyo min market iwe kwa ajili ya lengo la kuongeza kipato na sio kumchunga mwenza wako. Mwenza hachungwi kwa style hiyo. Never.
 
Hii sio meme, huu ni ukweli ulio wazi

Siku hizi maisha ni kusaidiana na katika kusaidiana huko ndio maana baba anafanya kazi na mama pia anafanya kazi.

Ofisini kuna mambo mengi yanaendelea ikiwemo mabosi kuwataka kimapenzi wafanyakazi wao na hii mara nyingi hutokea kwa mabosi wa kiume kuwataka kimapenzi wafanyakazi wao wa kike ingawa hata mabosi wa kike baadhi yao hutoka kimapenzi na wafanyakazi wao wa kiume.

Wanawake wengine unakuta wao wenyewe ndio wanajilengesha kwa mabosi zao ili tu waongezwe mshahara au wapandishwe cheo na wengine huwataka kimapenzi wafanyakazi wenzao wakigundua tu wanalipwa mishahara mara mbili zaidi yao.

Nakumbuka mwaka flani niliwahi ajiriwa na kampuni moja hapa town na siku za mwanzoni nikashangaaa baadhi ya wadada wanajua hadi mshahara wangu sasa nikajiuliza nani aliewaambia lakini nikahisi huenda muhasibu tulienae sio msiri na anatoa taarifa za mishahara ya watu kwa baadhi ya Staffs.

Niliona dada mmoja mke wa mtu anajilengesha sana kwangu na kuna muda kama watu sio wengi ofisini alikua anakuja kunikalia mapajani kabisa na wezere lake la haja.

Kama ingekua sio kuogopa kutembea na mke wa mtu yule dada ningeshapita nae sema huwa naheshimu sana mke wa mtu

Kiukweli maofisni kuna mambo mengi sana machafu yanafanyika kwa wake za watu na waume zao hawajui chochote. Mida ya lunch wengi ndo wanatumia kufanya uzinzi maana lisaa limoja linatosha sana kwa watu waliodhamiria kuvunja amri ya sita.

Kama mwanaume unajiweza kiuchumi basi muachishe kazi mkeo na badala yale mfungulie biashara atakayo yeye hii kidogo itapunguza hatari ya mkeo kuliwa na mabosi ambao wamekuzidi pakubwa mno kiuchumi.

Kinga ni bora kuliko tiba!
Acheni kuoa malay* ni bora muwe mabachela.
 
Hiyo min market iwe kwa ajili ya lengo la kuongeza kipato na sio kumchunga mwenza wako. Mwenza hachungwi kwa style hiyo. Never.
Hapa ume comment kwa Shaolin Master wa hayo mambo, huwezi nidanganya mimi wewe...
 
Hii sio meme, huu ni ukweli ulio wazi

Siku hizi maisha ni kusaidiana na katika kusaidiana huko ndio maana baba anafanya kazi na mama pia anafanya kazi.

Ofisini kuna mambo mengi yanaendelea ikiwemo mabosi kuwataka kimapenzi wafanyakazi wao na hii mara nyingi hutokea kwa mabosi wa kiume kuwataka kimapenzi wafanyakazi wao wa kike ingawa hata mabosi wa kike baadhi yao hutoka kimapenzi na wafanyakazi wao wa kiume.

Wanawake wengine unakuta wao wenyewe ndio wanajilengesha kwa mabosi zao ili tu waongezwe mshahara au wapandishwe cheo na wengine huwataka kimapenzi wafanyakazi wenzao wakigundua tu wanalipwa mishahara mara mbili zaidi yao.

Nakumbuka mwaka flani niliwahi ajiriwa na kampuni moja hapa town na siku za mwanzoni nikashangaaa baadhi ya wadada wanajua hadi mshahara wangu sasa nikajiuliza nani aliewaambia lakini nikahisi huenda muhasibu tulienae sio msiri na anatoa taarifa za mishahara ya watu kwa baadhi ya Staffs.

Niliona dada mmoja mke wa mtu anajilengesha sana kwangu na kuna muda kama watu sio wengi ofisini alikua anakuja kunikalia mapajani kabisa na wezere lake la haja.

Kama ingekua sio kuogopa kutembea na mke wa mtu yule dada ningeshapita nae sema huwa naheshimu sana mke wa mtu

Kiukweli maofisni kuna mambo mengi sana machafu yanafanyika kwa wake za watu na waume zao hawajui chochote. Mida ya lunch wengi ndo wanatumia kufanya uzinzi maana lisaa limoja linatosha sana kwa watu waliodhamiria kuvunja amri ya sita.

Kama mwanaume unajiweza kiuchumi basi muachishe kazi mkeo na badala yale mfungulie biashara atakayo yeye hii kidogo itapunguza hatari ya mkeo kuliwa na mabosi ambao wamekuzidi pakubwa mno kiuchumi.

Kinga ni bora kuliko tiba!
Naomba namba ya huyo dada mwenye wezera la haja, PM
 
Back
Top Bottom