Jifanye kidume lakini tambua kwamba ofisini kwa mkeo lazima kuna mwanaume anatoka nae kimapenzi

Hii sio meme, huu ni ukweli ulio wazi

Siku hizi maisha ni kusaidiana na katika kusaidiana huko ndio maana baba anafanya kazi na mama pia anafanya kazi.

Ofisini kuna mambo mengi yanaendelea ikiwemo mabosi kuwataka kimapenzi wafanyakazi wao na hii mara nyingi hutokea kwa mabosi wa kiume kuwataka kimapenzi wafanyakazi wao wa kike ingawa hata mabosi wa kike baadhi yao hutoka kimapenzi na wafanyakazi wao wa kiume.

Wanawake wengine unakuta wao wenyewe ndio wanajilengesha kwa mabosi zao ili tu waongezwe mshahara au wapandishwe cheo na wengine huwataka kimapenzi wafanyakazi wenzao wakigundua tu wanalipwa mishahara mara mbili zaidi yao.

Nakumbuka mwaka flani niliwahi ajiriwa na kampuni moja hapa town na siku za mwanzoni nikashangaaa baadhi ya wadada wanajua hadi mshahara wangu sasa nikajiuliza nani aliewaambia lakini nikahisi huenda muhasibu tulienae sio msiri na anatoa taarifa za mishahara ya watu kwa baadhi ya Staffs.

Niliona dada mmoja mke wa mtu anajilengesha sana kwangu na kuna muda kama watu sio wengi ofisini alikua anakuja kunikalia mapajani kabisa na wezere lake la haja.

Kama ingekua sio kuogopa kutembea na mke wa mtu yule dada ningeshapita nae sema huwa naheshimu sana mke wa mtu

Kiukweli maofisni kuna mambo mengi sana machafu yanafanyika kwa wake za watu na waume zao hawajui chochote. Mida ya lunch wengi ndo wanatumia kufanya uzinzi maana lisaa limoja linatosha sana kwa watu waliodhamiria kuvunja amri ya sita.

Kama mwanaume unajiweza kiuchumi basi muachishe kazi mkeo na badala yale mfungulie biashara atakayo yeye hii kidogo itapunguza hatari ya mkeo kuliwa na mabosi ambao wamekuzidi pakubwa mno kiuchumi.

Kinga ni bora kuliko tiba!
Hata ukimfungulia biashara kama ni malaya ataliwa tu. Hata akiwa mama wa nyumbani kama ni malaya ataliwa tu na bodaboda au mpemba muuza samaki wabichi.
 
Hayanaga kanuni hayo wala mpangokazi!

Elekeza nguvu kwenye mambo yako!

Mtu kazaliwa kwao huko mmekutana akiwa na Miata 24 unaweza ku mcontrol!!?

Yaani huko koote alipotoka alikuwa anajiongoza Sasa wewe unataka umuongoze utaweza!!?

By the way Ile ikulu no take yeye ndio huamua nani was kumpa na nai asimpe utampangia matumizi ya maumbile yake!!?

Kuwa serious na mambo ya msingi!!
 
A😂😂, nimfumanie mara ngapi sasa kamanda?
Mkuu kuna kitu mnakichanganya hapa, haijalishi mimi na wewe tunatombewa wake zetu, it doesnt conclude kwamba kila mwanamke ni kahaba. Kuna wanawake ni decent sanaaa na hata hayo mauchafu sio tu kuyafanya bali hata kuyawaza hawajawahi. Kubali kataa wapo wengi tuu.

Sio kila mwanamke anawaza umalaya tu chief. Wapo but ni sehemu tu kwakua ndio jamii, people cant be the same
Kama wewe ni mwanaume na umeoa mwanamke ambaye ni mwanadamu huwezi kuusemea na kujihakikishia uaminifu wa mtu mwingine

Uaminifu wa mwanamke anatakiwa kuusemea yeye mwenyewe na sio wewe
 
Hii sio meme, huu ni ukweli ulio wazi

Siku hizi maisha ni kusaidiana na katika kusaidiana huko ndio maana baba anafanya kazi na mama pia anafanya kazi.

Ofisini kuna mambo mengi yanaendelea ikiwemo mabosi kuwataka kimapenzi wafanyakazi wao na hii mara nyingi hutokea kwa mabosi wa kiume kuwataka kimapenzi wafanyakazi wao wa kike ingawa hata mabosi wa kike baadhi yao hutoka kimapenzi na wafanyakazi wao wa kiume.

Wanawake wengine unakuta wao wenyewe ndio wanajilengesha kwa mabosi zao ili tu waongezwe mshahara au wapandishwe cheo na wengine huwataka kimapenzi wafanyakazi wenzao wakigundua tu wanalipwa mishahara mara mbili zaidi yao.

Nakumbuka mwaka flani niliwahi ajiriwa na kampuni moja hapa town na siku za mwanzoni nikashangaaa baadhi ya wadada wanajua hadi mshahara wangu sasa nikajiuliza nani aliewaambia lakini nikahisi huenda muhasibu tulienae sio msiri na anatoa taarifa za mishahara ya watu kwa baadhi ya Staffs.

Niliona dada mmoja mke wa mtu anajilengesha sana kwangu na kuna muda kama watu sio wengi ofisini alikua anakuja kunikalia mapajani kabisa na wezere lake la haja.

Kama ingekua sio kuogopa kutembea na mke wa mtu yule dada ningeshapita nae sema huwa naheshimu sana mke wa mtu

Kiukweli maofisni kuna mambo mengi sana machafu yanafanyika kwa wake za watu na waume zao hawajui chochote. Mida ya lunch wengi ndo wanatumia kufanya uzinzi maana lisaa limoja linatosha sana kwa watu waliodhamiria kuvunja amri ya sita.

Kama mwanaume unajiweza kiuchumi basi muachishe kazi mkeo na badala yale mfungulie biashara atakayo yeye hii kidogo itapunguza hatari ya mkeo kuliwa na mabosi ambao wamekuzidi pakubwa mno kiuchumi.

Kinga ni bora kuliko tiba!
huyo dada malaya ndio ugeneralize wake za watu? Km we ni mwizi watu wote ni wezi?
 
Kama wewe ni mwanaume na umeoa mwanamke ambaye ni mwanadamu huwezi kuusemea na kujihakikishia uaminifu wa mtu mwingine

Uaminifu wa mwanamke anatakiwa kuusemea yeye mwenyewe na sio wewe
Hili ni tatizo jingine..
Kama huwez kuusemea uamnifu wa mtu ,why ukomalie shutuma za udhaifu wake na huna proof?
 
Wanawake hawatakiwi kukaa mbali na mume Zaidi ya miezi 3,kama umeoa na huwa unasafiri Mara Kwa mara au unaishi mbali na na mkeo,akifika siku za kuingia joto lazima atafute wa kumpoza maumivu,wake za watu wanaliwa Sana.
 
Wapi nmekomalia shutuma Mimi nmekomalia kutousemea nafsi ya mtu
Sorry sikueleweka, but u r right.
Kutosemea nafsi ya mtu ni jambo jema.
Kama hupaswi kumsemea kwa mema bas usimsemee kwa mabaya pia mpaka pale utakapokuwa na uthibitisho.

Na tabia ya mtu mmoja au kundi la watu haikupi uhalal ju ya wengine wote
 
Kama wewe ni mwanaume na umeoa mwanamke ambaye ni mwanadamu huwezi kuusemea na kujihakikishia uaminifu wa mtu mwingine

Uaminifu wa mwanamke anatakiwa kuusemea yeye mwenyewe na sio wewe
Wanaosema fulani ni Mtu mzuri, ni watu Wengine.
Hakuna anayejizungumzia vibaya.
 
😂😂
Kuchapiwa sio tatizo. Tatizo hapa ninmindset yako inayofikiria kwamba matatizo yako ni lazima yawakute na wengine. Hapo ndio unapokosea.

Wewe ulioa malaya, sasa sio kila mtu kaoa malaya kama wewe. We cha kufanya pambana na hali yako lakin usitake watu woote tukuonee huruma.
We chizi kweli wewe, aliekudanganya nimekuja kutafuta huruma nani ? We kweli unaliwa na mafisi
 
Kama kichwani utakuwa ukiwa mkeo analiwa na nani kila wakati hata Mungu hatokuwa na muda na wewe.
 
Mkuu, wanawake uliowazungumzia hapa ni MALAYA.

Mke wa mtu hawezi fanya huo ujinga, ukiona anafanya basi ujue ni MALAYA ambae kajificha kwenye kivuli cha NDOA.

Mwanaume unatakiwa ujue ya kuzingatia, ili uachane na mambo ya kijinga ya kumfuatilia Mtu mzima ni jinsi gani anatumia UCHI wake ambao umemkuta nao na anatembea nao 24/7.

Be a Man, Focus na kupambana kiuchumi ili usije dhalilika uzeeni. Acha watumie NYUCHI zao kwa namna wanavyoona wao inawafaa. hasara ni kwao.
Sio kwao tu, utaletewa mikosi, mapepo, magonjwa, utadhalilishwa nk.
 
Back
Top Bottom