Kwa mawazo yangu naona hapa issue kubwa ni tabia za mwanamke utakaemuoa na kumuweka ndani kama mkeo. Akiwa na tabia za kimalaya, hata kama hafanyi kazi, atagongwa na ma boda boda na wauza genge, tena hii ni mbaya zaidi maana kuna uwezekano mkubwa wa hata kugongewa hapo hapo home, tena kitanda ulichokinunua wewe mwenyewe. Kuna mshikaji wangu mmoja aligundua mkewe anagongwa na mdogo wake (mtoto wa baba mdogo), ambae jamaa alikua kamhifadhi hapo home wakati anajitafuta; dogo akawa anajilia nyama ya kaka, na sababu jamaa alikua mtu wa kusafiri basi dogo alikua anajilia kwa nafasi tu. Na huyo mke hakua anafanya kazi wala biashara yoyote. Hata ukimfungulia biashara kama ana tabia za umalaya bado atagongwa pia na hao hao wateja wake. Maisha ya sasa hivi hata kama mke hafanyi kazi, kusema kwamba utaweza kumchunga muda wote ni ngumu, maana yake usisafiri, usipate dharura, pia maana yake umfungie tu ndani na muda wote pia uwepo naye (mtakula nini sasa?).
Kuna mwingine wakati naishi kwenye vyumba vya kupanga, mke alikua anagongwa alfajiri ile, na mpangaji mwingine ambae hajaoa, mke anatoka kama anaenda chooni, anakutana na jamaa wanamalizana swafi kabisa, huku mume anakoroma ndani.
Cha muhimu, HAKIKISHA HAUOI MALAYA..!
lazima ukae