Jifanye kidume lakini tambua kwamba ofisini kwa mkeo lazima kuna mwanaume anatoka nae kimapenzi

Hata ukimfungulia biashara kama ni malaya ataliwa tu. Hata akiwa mama wa nyumbani kama ni malaya ataliwa tu na bodaboda au mpemba muuza samaki wabichi.
 
Hayanaga kanuni hayo wala mpangokazi!

Elekeza nguvu kwenye mambo yako!

Mtu kazaliwa kwao huko mmekutana akiwa na Miata 24 unaweza ku mcontrol!!?

Yaani huko koote alipotoka alikuwa anajiongoza Sasa wewe unataka umuongoze utaweza!!?

By the way Ile ikulu no take yeye ndio huamua nani was kumpa na nai asimpe utampangia matumizi ya maumbile yake!!?

Kuwa serious na mambo ya msingi!!
 
Kama wewe ni mwanaume na umeoa mwanamke ambaye ni mwanadamu huwezi kuusemea na kujihakikishia uaminifu wa mtu mwingine

Uaminifu wa mwanamke anatakiwa kuusemea yeye mwenyewe na sio wewe
 
huyo dada malaya ndio ugeneralize wake za watu? Km we ni mwizi watu wote ni wezi?
 
Kama wewe ni mwanaume na umeoa mwanamke ambaye ni mwanadamu huwezi kuusemea na kujihakikishia uaminifu wa mtu mwingine

Uaminifu wa mwanamke anatakiwa kuusemea yeye mwenyewe na sio wewe
Hili ni tatizo jingine..
Kama huwez kuusemea uamnifu wa mtu ,why ukomalie shutuma za udhaifu wake na huna proof?
 
Wanawake hawatakiwi kukaa mbali na mume Zaidi ya miezi 3,kama umeoa na huwa unasafiri Mara Kwa mara au unaishi mbali na na mkeo,akifika siku za kuingia joto lazima atafute wa kumpoza maumivu,wake za watu wanaliwa Sana.
 
Wapi nmekomalia shutuma Mimi nmekomalia kutousemea nafsi ya mtu
Sorry sikueleweka, but u r right.
Kutosemea nafsi ya mtu ni jambo jema.
Kama hupaswi kumsemea kwa mema bas usimsemee kwa mabaya pia mpaka pale utakapokuwa na uthibitisho.

Na tabia ya mtu mmoja au kundi la watu haikupi uhalal ju ya wengine wote
 
Kama wewe ni mwanaume na umeoa mwanamke ambaye ni mwanadamu huwezi kuusemea na kujihakikishia uaminifu wa mtu mwingine

Uaminifu wa mwanamke anatakiwa kuusemea yeye mwenyewe na sio wewe
Wanaosema fulani ni Mtu mzuri, ni watu Wengine.
Hakuna anayejizungumzia vibaya.
 
We chizi kweli wewe, aliekudanganya nimekuja kutafuta huruma nani ? We kweli unaliwa na mafisi
 
Kama kichwani utakuwa ukiwa mkeo analiwa na nani kila wakati hata Mungu hatokuwa na muda na wewe.
 
Sio kwao tu, utaletewa mikosi, mapepo, magonjwa, utadhalilishwa nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…