Jifanye kidume lakini tambua kwamba ofisini kwa mkeo lazima kuna mwanaume anatoka nae kimapenzi

Mkuu hata ukimfungulia biashara ni yale yale tu,anaweza kuliwa hata na mteja au mfanyabiashara mwenzake.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Siku hizi kwenye ukuta wa fensi nyumbani tunaunganisha room moja tunaweka ka min market anakaa hapo kila kukicha mpaka usiku, huku akiwa busy na pia na misosi ya watoto

Tumieni akili
 
Kama mwanaume unajiweza kiuchumi basi muachishe kazi mkeo na badala yale mfungulie biashara atakayo yeye hii kidogo itapunguza hatari ya mkeo kuliwa na mabosi ambao wamekuzidi pakubwa mno kiuchumi.

Kinga ni bora kuliko tiba!
Ndiyo tatizo la kudhani yaliyokupata wewe basi lazima yanawapata na wengine. Hiyo unayoita biashara ni nini? Siyo kazi? Haimkutanishi na watu?
Badala ya kutafuta wanawake wa kuoa, ninyi mkaenda kutafuta Malaya mkaoa. Achaneni na habari za kulazimisha Malaya wawe wake, binginevyo mtazidi kuumia tu.
 
Inategemea na ofisi. Hapa kwetu haya mababa unayapeleka wapi?

Kwahiyo mtoa mada tukikuvesha sketi sku 1 tu asbh, mchana umeliwa huko kazini?
Kwa hiyo wangukua wapo vijana na wewe wangekukula?
 
Siku hizi kwenye ukuta wa fensi nyumbani tunaunganisha room moja tunaweka ka min market anakaa hapo kila kukicha mpaka usiku, huku akiwa busy na pia na misosi ya watoto

Tumieni akili
Hiyo min market iwe kwa ajili ya lengo la kuongeza kipato na sio kumchunga mwenza wako. Mwenza hachungwi kwa style hiyo. Never.
 
Acheni kuoa malay* ni bora muwe mabachela.
 
Hiyo min market iwe kwa ajili ya lengo la kuongeza kipato na sio kumchunga mwenza wako. Mwenza hachungwi kwa style hiyo. Never.
Hapa ume comment kwa Shaolin Master wa hayo mambo, huwezi nidanganya mimi wewe...
 
Naomba namba ya huyo dada mwenye wezera la haja, PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…